Wanaume waliooa ndo wanaongoza kwa uongo kwenye mapenzi

Hizi nyuzi leo wanawake humu mmeamua[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuna nini?
Hali ya hewa mkuu.

Siku hizi kila siku inanyesha mvua,hata asubuhi liwake jua lazima Kuna muda itanyesha tu na kupelekea Hali kuwa ya baridi. Sasa mitongozo imeongezeka sana ndiyo wanawakewanalalamika wanaume tumezidi kuwapanga uongo.

Ila yote hii ni sababu ya baridi.
 
Haswaaaa.. 😂😂😂
Wengi wao wanajutia choice yao.. Ila ndio hivyo lazima waende kusaka za kuwapa raha zaidi nje...
 
Kuna saa labda hua wanajisahua kama wameoa, sio makosa yao muwaelewe tu.

Wanaume sio waongo hata kidogo[emoji1782]
Kikao kijacho Cha wanaume na wanawake,wewe upewe cheo Cha mwenyekiti. Sema tawile!!
 
Atakuwa amesahau taarifa tuliyokubaliana katika kikao cha wanaume na wanawake kilichopita kwamba mwanamke ni Mali ya mmoja na mwanaume ni Mali ya wanawake wengi.

Inabidi akumbushwe tena ili asiwe msahulifu wa mara kwa mara.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unakutana na mkaka handsome anavutia, anakutafuta kwa muda kisha anakutongoza .

Unapomuuliza kama ameoa anakwambia bado, ukimuuliza kweli kwa umri huu huna mke , anakujibu ndoa imevunjika, au hana kabisa
Unampa moyo wote, kumbe ana mke na watoto 7 na wanaishi kwa amani kabisa

Wanaume tulieni na semeni ukweli
Umeliwa tayari😀
 
Hao wakwako ni wajinga na wapuuzi na hawajiamin.

Sisi tuliooaz kwanza kitendo Cha kumwambia mwanamke umeoa, kinakuongezea Asilimia Kadhaa za kumpata.

Kwa mtu kama Mimi nitakuambia Direct kua nmeoa, na Nina michepuko mingine kibao.

Ukikatalia K yako ,poaa Kaa nayo ...K zipo nyingi
Acha uongo, lakini si kwa pisi kali saa 6
 
Hamna Kizuri kisicho na mwenyewe ni either wamekorofishana huko anatafuta penye amani.. Badala uchangamke unakazi ya kuhoji hoji kama afisa wa sensa.

or else anataka tu kubadilisha taste sometimes amekuona una zile fictures anazozielewa.

Majibu yote mawili,Point 3 zote unapaswa uzichukue, mwanaume hatongozi tongozi kama hamna shida mahali kwenye mahusiano yake.

wewe ushakabdhiwa usukani badala uonyeshe ufundi wako wa kuendesha gari asahau huko alipotoka, Unajitia mpelelezi kama afisa wa NASA.

Ndio mana HAMUOLEWI. ndoa inasakwa haiji kama embe dodo,akitokea unaemuelewa pita nae wewe kaa hapo subiria aje asie na mpenzi,mke watoto, Utaolewa na YESU nakwambia.
 
[emoji3][emoji3]
 
Unakutana na mkaka handsome anavutia, anakutafuta kwa muda kisha anakutongoza .

Unapomuuliza kama ameoa anakwambia bado, ukimuuliza kweli kwa umri huu huna mke , anakujibu ndoa imevunjika, au hana kabisa
Unampa moyo wote, kumbe ana mke na watoto 7 na wanaishi kwa amani kabisa

Wanaume tulieni na semeni ukweli
Tulia dawa ikuingie
 
Kwani hukuyaona matokeo ya sensa?
 
Dada usiwalaumu kuna muda ndoa huwa inakuwa ya Moto mpaka watu wanasahau Kama wameoa[emoji3]
 
Hao wakwako ni wajinga na wapuuzi na hawajiamin.

Sisi tuliooaz kwanza kitendo Cha kumwambia mwanamke umeoa, kinakuongezea Asilimia Kadhaa za kumpata.

Kwa mtu kama Mimi nitakuambia Direct kua nmeoa, na Nina michepuko mingine kibao.

Ukikatalia K yako ,poaa Kaa nayo ...K zipo nyingi

Mwamba huyuapa [emoji23][emoji23] [mention]Carlos The Jackal [/mention] picha linaanza anakwambia K ziponyingi
 
Back
Top Bottom