Nakijua unachokosema, ilajibu ni moja, wameharibika akili kwa kukosa msingi wa malezi. Hata wanaopenda ushoga na usagaji ni vvyale yale, wamekosa msingi wa malezi bora hivyo wamedandia ujuzi wa kimagharibi wakijidanganya ndio njia ya maisha.Wanawake ndo wanaume wanao wapenda Fanya utafiti utaona
Akili mbaya hizi mwenzio ajilipue? hujui ni hatariatar? akifa je? nani atazoa mabaki ya vilipuko? omba samahani haraka.Jilipue mkuu
Bado tunajadili wale wavulana wanaovalisha Wanawake pete za uchumba/ndoa wakilia lia mbele za wakwe na wageni waalikwa katika kikao chetu Wanaume cha 7.
Huu umama hatuukubali kabisa na tutahakikisha wavulana wa aina hii tunawafyekelea mbali hata kwa kuchomoa betri.
Sisi Kama wanaume tunapinga vikali na kulaani hii tabiaWavulana wanaongea sauti za 3, kurembua macho, kuvaa suruali za mipira pa1 na wanaovalisha Wanawake pete wakiwa wamepiga magoti lazima tuchomoe betri ili tubaki Wanaume pekee.
Nilienda kuchumbia mwaka jana, muda wa kuvisha pete kidume nikasimama wima. Nikamvisha pete na kumuinua chini Mchumba wangu, nikamweka kifuani na kumkumbatia. Biashara ikaishia hapo. Badae nikaja sikia eti nilimvisha pete kizamani, yaan baadhi ya watu walitaka nipige goti mimi. Nililinda heshima yangu kwa manufaa ya ndoa yangu kisaikolojia.Mwanaume kupiga magoti mbele ya mkewe na kulialia mbele ya mchumba ni dalili ya kukwepa majukumu kwa kujionyesha kuwa yeye ni mdhaifu hasa utakapofika muda wa maamuzi magumu. Maana nilivyofunzwa mimi ni kuwa Mwanaume ni kiongozi kwa kuzaliwa hivyo yeye ndiye wa kutafuta suluhisho pale tatizo linapoikumba familia yake na yeye ndiye anatakiwa kuwa muanzishaji wa kila jambo katika familia yake (mke ni mshauri tu).
Mfano mwanaume akitaka kupata mtoto inabidi yeye ndiye aanze kumpa mimba mkewe na pia kisayansi mwanaume ndiye anaamua mtoto gani azaliwe maana yeye ana "X" na "Y" lakini mwanamke ana "X" na "X" hivyo anapozaliwa mtoto wa kike au wa kiume jua hapo ni Baba ameamua bila idhini (invorluntary action).
Nafurahi na nimekuunga mkono kwa kuona kumbe una mawazo kama yangu. HONGERA MKUU KWA KULETA MADA NZURI, TUENDELEE KUKEMEA UOVU BILA KUCHOKA.
Nilienda kuchumbia mwaka jana, muda wa kuvisha pete kidume nikasimama wima. Nikamvisha pete na kumuinua chini Mchumba wangu, nikamweka kifuani na kumkumbatia. Biashara ikaishia hapo. Badae nikaja sikia eti nilimvisha pete kizamani, yaan baadhi ya watu walitaka nipige goti mimi. Nililinda heshima yangu kwa manufaa ya ndoa yangu kisaikolojia.