Wanaume walio rijali pokeeni hii nywila

Wanaume walio rijali pokeeni hii nywila

Sa

sasa si umshikeshike tu aamke, kuliko kuanza mtongozo upya!!!
Hivi unavyomwambia, mara ooo naomba mambo, unataka akwambieje? mfano unataka akuambie "HAYA CHUKUA"
Mkishikwashikwa huwanapiga vipepsi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Itakuwa nyepesi kama ya jana ya taifa letu na Senegal? hahahahaha
Hahaa!! Sidhani kama nawe utakuwa kiwango kidogo saizi ya taifa stazi!

Ila hata ukiwa huko bado sio tabu bibie, nitakupa dozi kutokana na uwezo wako, huku nikikukelekeza namna gani ufikie level ya kupokea dozi..

Ili na sie tupige matchi viwango vya ISO.
 
Utaamshwa tu hakuna namna, ulale na kidume halafu ukatae kuamshwa? Utashangaa mikono na vidole vyake vinapita maeneo pendwa, hakika usingizi utakata tu...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unavijua vipepsi?
 
Tukilala si ndio mwanzo wa kusaidiwa? Lazima alfajiri niichafue ndio nisepe hata kama ulikuwa una wazo la kumpelekea jamaa unaahirisha[emoji23][emoji23][emoji23]
Unaweza "ukachafua" na bado mwanamke agawa!!!
Inategemea unachafua vipi?
🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄
 
dah kun awatu wanaombaga..sasa hapo unaombaje wakati unalion aTAKO, ZIWA HILO...unaanza kutafuna tu mwenyewe anakuwekea ule vizuri
 
Nawapa hii password.
Wanawake wanakereka sana, pale inapotokea ni mkeo au mchepuko wako, (ngoja ni base kwa mchepuko).

Siku hiyo mwanaume umejitutumua umelala na huo mchepuko, yaani mmeamua kuchukua room au sehemu yoyote ile ambayo siku hiyo mmepanga mtalala usiku wote hadi asubuhi mkiwa wawili.

Mmefanya cha kwanza (mapema tu), mjue mnakera sana, inafika saa nane usiku hata muda mwingine ambao wote usingizi umewapatia, halafu wewe mwanamme rijali unastuka usingizini, wakati huo unahitaji la kutaka ku "do" tena, sasa kero inakuja pale UNAPOANZA KUIMBISHA UPYA, kwa mfano... Nakwede, Nakwede, naomba unipe mambo!!!!!! 🤬🤬🤬🤬🤬, Au hata kile cha asubuhi, eti unaomba "nipe mpenzi wangu!!!
Inakera sana. Kuna sababu gani ya kuniomba tena, mnashindwa nini kuanza kucheza tu na mwili wa mwanammke hadi ajue kwamba "unataka"?

Ya nini kuanza kuomba upya utadhani ndio tunatongozana! mnatutoa kwenye stimu bwana!!!! Cheza na mwili wangu sio kuniomba utadhani unaomba karanga!!!

Povu ruksa, nikafulie nguo zangu wikiendi hiii
Rijali hawezi kuomba tena ni kumuuandaa tu na kula
 
Back
Top Bottom