Wanaume walio rijali pokeeni hii nywila

Wanaume walio rijali pokeeni hii nywila

Umeongea vzur,ila pia kile cha asubuh uende kwanza ukanawe ,..maana ni kama mdomo tuu asubuh lazma mswak ndo ule..
 
Hahaha
Nawapa hii password.
Wanawake wanakereka sana, pale inapotokea ni mkeo au mchepuko wako, (ngoja ni base kwa mchepuko).

Siku hiyo mwanaume umejitutumua umelala na huo mchepuko, yaani mmeamua kuchukua room au sehemu yoyote ile ambayo siku hiyo mmepanga mtalala usiku wote hadi asubuhi mkiwa wawili.

Mmefanya cha kwanza (mapema tu), mjue mnakera sana, inafika saa nane usiku hata muda mwingine ambao wote usingizi umewapatia, halafu wewe mwanamme rijali unastuka usingizini, wakati huo unahitaji la kutaka ku "do" tena, sasa kero inakuja pale UNAPOANZA KUIMBISHA UPYA, kwa mfano... Nakwede, Nakwede, naomba unipe mambo!!!!!! 🤬🤬🤬🤬🤬, Au hata kile cha asubuhi, eti unaomba "nipe mpenzi wangu!!!
Inakera sana. Kuna sababu gani ya kuniomba tena, mnashindwa nini kuanza kucheza tu na mwili wa mwanammke hadi ajue kwamba "unataka"?

Ya nini kuanza kuomba upya utadhani ndio tunatongozana! mnatutoa kwenye stimu bwana!!!! Cheza na mwili wangu sio kuniomba utadhani unaomba karanga!!!

Povu ruksa, nikafulie nguo zangu wikiendi hiii
hahahaha
 
Naona unazeeka na utamu wako
Nawapa hii password.
Wanawake wanakereka sana, pale inapotokea ni mkeo au mchepuko wako, (ngoja ni base kwa mchepuko).

Siku hiyo mwanaume umejitutumua umelala na huo mchepuko, yaani mmeamua kuchukua room au sehemu yoyote ile ambayo siku hiyo mmepanga mtalala usiku wote hadi asubuhi mkiwa wawili.

Mmefanya cha kwanza (mapema tu), mjue mnakera sana, inafika saa nane usiku hata muda mwingine ambao wote usingizi umewapatia, halafu wewe mwanamme rijali unastuka usingizini, wakati huo unahitaji la kutaka ku "do" tena, sasa kero inakuja pale UNAPOANZA KUIMBISHA UPYA, kwa mfano... Nakwede, Nakwede, naomba unipe mambo!!!!!! [emoji2959][emoji2959][emoji2959][emoji2959][emoji2959], Au hata kile cha asubuhi, eti unaomba "nipe mpenzi wangu!!!
Inakera sana. Kuna sababu gani ya kuniomba tena, mnashindwa nini kuanza kucheza tu na mwili wa mwanammke hadi ajue kwamba "unataka"?

Ya nini kuanza kuomba upya utadhani ndio tunatongozana! mnatutoa kwenye stimu bwana!!!! Cheza na mwili wangu sio kuniomba utadhani unaomba karanga!!!

Povu ruksa, nikafulie nguo zangu wikiendi hiii
 
Mie nikilala nawe nikistuka utaisikia mwilin hata kama umesinzia mie nitaendelea kunyongoroa vitu sema labda ulale na kabati ndio nitakustua
 
Hahahahahaha,,,, nilijua tu nyie bhana mkishakaa kwenye vijiwe vyenu mnaongea mambo mengi ila sio mbya bora umetuchana ukweli sema na nyinyi muwe munaonyesha ushirikiano basi mana mademu wengi amjui ata kunyonya mate ninewachunguza sana
tehe tehe tehe tehe, story za saluni hizo. hahahahahahahahaaha
 
Nakwenda mbona kama unamuandiko wa kiume hivi!!!??
 
Nawapa hii password.
Wanawake wanakereka sana, pale inapotokea ni mkeo au mchepuko wako, (ngoja ni base kwa mchepuko).

Siku hiyo mwanaume umejitutumua umelala na huo mchepuko, yaani mmeamua kuchukua room au sehemu yoyote ile ambayo siku hiyo mmepanga mtalala usiku wote hadi asubuhi mkiwa wawili.

Mmefanya cha kwanza (mapema tu), mjue mnakera sana, inafika saa nane usiku hata muda mwingine ambao wote usingizi umewapatia, halafu wewe mwanamme rijali unastuka usingizini, wakati huo unahitaji la kutaka ku "do" tena, sasa kero inakuja pale UNAPOANZA KUIMBISHA UPYA, kwa mfano... Nakwede, Nakwede, naomba unipe mambo!!!!!! 🤬🤬🤬🤬🤬, Au hata kile cha asubuhi, eti unaomba "nipe mpenzi wangu!!!
Inakera sana. Kuna sababu gani ya kuniomba tena, mnashindwa nini kuanza kucheza tu na mwili wa mwanammke hadi ajue kwamba "unataka"?

Ya nini kuanza kuomba upya utadhani ndio tunatongozana! mnatutoa kwenye stimu bwana!!!! Cheza na mwili wangu sio kuniomba utadhani unaomba karanga!!!

Povu ruksa, nikafulie nguo zangu wikiendi hiii
Umetisha sana kwa kujitoa kusema ukweli..
Wanaume tunazingua ni udhaifu kumuomba mwanamke papuchi kwanza kisaikolojia unamtoa kwenye mood anajiona kama anafanya ili kukufurahisha wewe na sio ili wote mfurahi kiufupi ni kama unakuwa mbinafsi..
Ishu nyingine hutakiwi kusema “asante kwa sex nime-enjoy and the likes” badala yake tumia maneno yanayoashiria wote especially yeye ame-enjoy that’s how bad boys are always sexy..
Usiombe sex mfanye yeye atake kusex na wewe
 
Sa

sasa si umshikeshike tu aamke, kuliko kuanza mtongozo upya!!!
Hivi unavyomwambia, mara ooo naomba mambo, unataka akwambieje? mfano unataka akuambie "HAYA CHUKUA"
Kuna wanawake wengine unawashika shika kila kona lakini wapi. hao nao tuwafanyeje.
anyway huwa siombi nikishituka ytu usingizini NAKWEDE unasikia tu inazama ukibana nakupotezea
 
Back
Top Bottom