wanaume walevi

Hii ni kero kubwa sana, kuna jirani yangu kila wiki lazima aanike godoro na hana watoto wadogo. mume mlevi, mgomvi akilewa yani mtaa mzima utajua leo jamaa njwii..halafu ajikojolee na kutapika mule mule..
Nilimuambia huyo mdada kuwa ni shujaa, mimi nisingeweza kulea mtu mzima hivyo!..ni job true true hii!!

Ninyi acheni hizo, inawezekana waume zenu ndiyo vikojozi zaidi. Sifa mojawapo ya wanawake ni kudanganyana. Kama yupo anayemvumilia mumewe pamoja na ulevi wake tatizo liko wapi!!
 
eti wanakojoa kitandani sana, kila siku kuanika godoro na wake zao wanawavumilia na kuwapenda. enyi mlioolewa na walevi mnasemaje????????? kuna ukweli hapo. du kazi ipo. Hii ameniambia mtu wa karibu mwanamke ambaye nimesoma naye kwa kipindi cha miaka kama 7 hivi

Naona heshima imesafiri sisi sio walevi ni wanywaji.
 
Back
Top Bottom