Wanaume wakintanzania

Darwin

JF-Expert Member
May 14, 2008
908
56
Ni wajomba zangu kwasababu mama yangu ni mtanzania lakini kuna hawa wanaume wengine wananitia mashaka kwenye blog za watu wamitindo.
Unakuta limeni linakua kwenye picha na wasichana nalinatoa mapozi kama jike.

Sitaki kuongea mengi ila naona......
 
Wazaire akina papaaa wamejaa teleeeeee Dar siku hizi inawezekana ni wao na sio wabongo bana!
 
Ni wajomba zangu kwasababu mama yangu ni mtanzania lakini kuna hawa wanaume wengine wananitia mashaka kwenye blog za watu wamitindo.
Unakuta limeni linakua kwenye picha na wasichana nalinatoa mapozi kama jike.

Sitaki kuongea mengi ila naona......

Hujaeleweka. Nenda kapate kongolo kwanza.
 
Hujaeleweka. Nenda kapate kongolo kwanza.
C' mon, u know what I,m talking about!

R' u 1 of them!!!?

14.jpg 34.jpg
 
hizo picha zimepigwa stajini
Inamaana hao watu ni ma Model so wanahitaji style
japo kuwa walizonazo ndo hizo
 
mh, sijui nisemeje, lakini sio wanamitindo tu hata wanaume wacheza miziki wanakata viuno kushindana na mastage show wa kike.
 
ukiwa mwanume,ukawa unafanya kazi kny fashion industry bongo unahitaji kuwa na moyo wa chuma kwa kweli...manake majina ya kila aina utapewa...mnh:blah:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom