Kwakweli Nasikitishwa Saana Na Tabia Za Wanaume Wakichaga Japo Kua Sio Wote Lkn Inaudhi Saana..
Yaani Tabia Ya Kuzalisha Kila Mwanamke Wanaomwona Mzuri, Unakuta kijana Ana Miaka 25 Tu Lkn Kila Girlfriend Aliyekua Naye Ana Mtoto, Watoto Wamejaa Ka Utitiri, Wengine Hata Hawako Responsible Kwa Makuzi Ya Hao Watoto Wao, Zao Ni Kunywa Pombe Na Kutafuta Hela!
Kwa Style Hii Mwanaume Wakichaga Ni Wakuogopwa Saana Unaeza Kujiona Umepata Kumbe Umepatikana!!
Badilikeni!!