Wanaume wakati mwingine mnataka tuwaroge

Wanaume wakati mwingine mnataka tuwaroge

Subiri awe chatu utajua hujui.
Kuna yule mwanamke mtwara alikosea masharti ya limbwata Kwa mume wake akasababisha mwanaume akabadilika kuwa chatu.

Akawa ana kazi ya kumfuga ndani asitoke nje.Ila Kuna muda alikuwa anatoka watu walikimbia wakaja kusanuka mume amebadilishwa kuwa chatu Hadi waandishi wa habari waliitwa kujionea maajabu.

Wivu wa kipumbavu kweli.
 
Kuna yule mwanamke mtwara alikosea masharti ya limbwata Kwa mume wake akasababisha mwanaume akabadilika kuwa chatu.

Akawa ana kazi ya kumfuga ndani asitoke nje.Ila Kuna muda alikuwa anatoka watu walikimbia wakaja kusanuka mume amebadilishwa kuwa chatu Hadi waandishi wa habari waliitwa kujiona maajabu.

Wivu wa kipumbavu kweli.
Kunawatu wanacheza na maisha ya wenzao hivi wamewahi kufikiria watoto wao wa kiume wafanyiwe hivo wangekisikiaje mwanaume kama hakutaki ondoka hakuna mwanaume anaempenda mkewe akamdharau na kumletea mapicha picha ukiona hivo penz lishakufa mwishowake kuuana tu
 
So sad, sijawahi kuwaza kufanya hivi ila hapa nilipofika sina namna, otherwise nachanganyikiwa bure. Huu ni mwaka wa tatu wa ndoa, na miaka miwili ilikuwa ya furaha na amani hadi mwaka wa tatu ulipoanza, nimeona mapicha picha ya kila namna kutoka kwa huyu mwanaume...
Chagua kumuacha au kuishi na mke mwenza.
 
Bila shaka na yeye anaenda kutafta mganga kujua nani kamroga,huko ataambiwa ni wewe mkewe,na hapo ndipo ndoa itaishia.
 
Wanawake nyie ndio huwa mnasababisha Wanaume wanacheat. Mnatumia sex kama fimbo, ukikosewa kidogo unageuka MA kutoa mbunye, ukicheat unagoma kutoa mbunye, asipokupa hela unagoma, unagoma unagoma mpaka mwanaume anajiona single Ndani ya ndoa. Mbinu mpya zinaanza kutumika ili akidhi haja zake ndio Usaliti unaooanzia Sasa.

Kimsingi mnavuna mnachokuwa mmepanda, Ukiona mwanaume hujampa mwezi mzima na halalamiki jua Kuna Chimbo jingine analitumia kupunguza presha
 
Sitaki kujua sana maisha yenu ya ndoa ila kiufupi wewe na mmeo wote mna matatizo, mmoja ni malaya na mwingine ni mshirikina.

Mathematically: Malaya+Mshirikina=Kizazi cha hovyoo.

REHEMA YA MWENYEZI MUNGU IWE JUU YENU
Ushirikiana oyeeee,, hamna kitu Kwa hiyo ndoa
 
So sad, sijawahi kuwaza kufanya hivi ila hapa nilipofika sina namna, otherwise nachanganyikiwa bure. Huu ni mwaka wa tatu wa ndoa, na miaka miwili ilikuwa ya furaha na amani hadi mwaka wa tatu ulipoanza, nimeona mapicha picha ya kila namna kutoka kwa huyu mwanaume.

Nimekonda nimechakaa kiufupi sina nuru hata biashara na kazi zangu zimeyumba sana. Miaka mitatu ya ndoa sijawahi kuchepuka hata kuwa na ukaribu na mwanaume yoyote, namuheshimu mume wangu.

Ni mwanamke ambae mwaka mmoja uliopita hata ungeniletea ushahidi mume wangu anachepuka nisingekuamini, namna nilivyokuwa na imani nae[emoji28].

Sasa kwa matukio ninayopigwa toka mwaka jana kufuma nguo za wanawake, condom na takataka nyingi kwa huyu mume amenifanya moyo kuwa mgumu, kila unapomfuma anakumbembeleza lakini baada ya week chache mambo ni yale yale.

Nimeamua sasa ni deal nae kwa namna nyingine, maana sasa nashindwa ku concentrate na mambo yangu mengine ya muhimu.

Ni kweli hakuna mwanaume asiechepuka nimekubali, Ila kuna wanawake hatuwezi kuvumilia huu ujinga bora awe ndondocha kuliko haya maumivu.

Nimempiga makombora matatu makali, moja kafungwa kwenye chupa hatakuwa na kauli kwa lolote kuanzia sasa, ataona wanawake wengine ila ataniwaza mimi tu na hatosimamisha kwa mwanamke mwingine.

Nampenda sana mume wangu ila tabia zake zimetufikisha hapa. Wanaume kuweni makini, nyie ndio mnatubadili tabia zetu kwa matendo yenu.

Haya wale wa mapovu mje mnipopoe, ila for once toka mwaka uanze nimepata amani ajabu, kuanzia sasa mume ni wangu peke angu.
Doooh...hamna kitu..umemfanya mwana kwenda tayar.. jiandae majuto soon!!
 
Hujaelewa story vizuri hivyo ni ngumu hata kuelewa maelezo yangu
Ila mimi sio wa kwanza plan yangu ipo vizuri tu
nimeelewa kuwa umechoka!
nimeelewa unaumia!
nimeelewa ulimuamini sana mumeo!
nimeelewa unampenda mume wako!
nimeelewa moyo wako unavuja damu!
nimeelewa huamini kuwa linakutokea!

nimeelewa unapoteza focus ya maisha kutokana na yote hayo!

Nahitaji kueleza nini lingine ili kukuonesha nimekuelewa sababu ya uamuzi wako?
Bado unaamini sijaelewa vya kutosha where you are kihisia na kiimani?

Ngoja nikusaidie kuelewa zaidi kuwa nimekuelewa!
UMESHAKATA TAMAA YA MAISHA YAKO BINAFSI NA UKO RADHI KUISHI NA ASIYE NA UTASHI WA MAAMUZI YAKE KUKUHUSU NA KUHUSU NDOA YENU , SO UNATUMIA MADAWA ILI ASIKULETEE YOTE HAYO NILIYOELEWA!

unajua kinachofata!?
nikwambie au niendelee kutokukuelewa?
 
Tumia mbinu kama ya mke wangu( tunaishi tu hatujafunga ndoa rasmi).Yeye kila mwisho wa mwaka ,anaweka bahasha ya maombi.Huwa nayachungulia ananiombea nijenge,niache pombe na uzinzi.Nabadilika taratibu taratibu inachukua muda unajua?!.Achana na ushirikina.



Wengine wanafanya vyote,
Maombi na kuroga .

Moyo wa binadamu kichaka
 
Wanawake nyie ndio huwa mnasababisha Wanaume wanacheat. Mnatumia sex kama fimbo, ukikosewa kidogo unageuka MA kutoa mbunye, ukicheat unagoma kutoa mbunye, asipokupa hela unagoma, unagoma unagoma mpaka mwanaume anajiona single Ndani ya ndoa. Mbinu mpya zinaanza kutumika ili akidhi haja zake ndio Usaliti unaooanzia Sasa.

Kimsingi mnavuna mnachokuwa mmepanda, Ukiona mwanaume hujampa mwezi mzima na halalamiki jua Kuna Chimbo jingine analitumia kupunguza presha
Miiiimi huyu nigome!
Navopenda zile habari, wee sio kweli!
 
Kule kuroga michepuko umeona haisadii maana utamroga Mwajuma wakaachana kesho anaibuka na Mchepuko mwingine (Rose).

Sasa utaroga wangapi?

Naona ndio maana umeona umroge yeye mwenyewe mhusika Mkuu [emoji3][emoji28]

Lakini limbwata huwa lina expire na mwisho wake huwa mbaya sana.
 
Kunawatu wanacheza na maisha ya wenzao hivi wamewahi kufikiria watoto wao wa kiume wafanyiwe hivo wangekisikiaje mwanaume kama hakutaki ondoka hakuna mwanaume anaempenda mkewe akamdharau na kumletea mapicha picha ukiona hivo penz lishakufa mwishowake kuuana tu
Wee aunt hawa wamefunga ndoa ya kikristo, kanisani tenaa. Sio rahisi kuachana hivyo
 
Back
Top Bottom