Wanaume wachafu msiutumie uchafu wenu kama ndio uanaume

Kumekuwa na tabia za wanaume hasa hawa wa singeli kuutumia uchafu wao kama ndio uanaume

Unakuta mwanaume kakomaa matako yamepauka yanataka kuwa na upele upele kabisa kisa kutokupaka mafuta, harafu utasikia anasema "mwanaume hapaki mafuta matako"

Imekuwa hivyo hivyo kwa hawa wanaotembea kwa miguu wakiwa wamevaa sendo unakuta miguu imechakaa vumbu harafu utasikia "mwanaume unavaaje soksi"?

Nani aliwaambia wanaume msiwe mnanyoa nywele za kwapani?

Jamani eeeh! Usafi hauchagui mwanaume wala mwanamke usafi ni kwa wote
Mwanaume nilazima anuke kibeberu weweeeee na huo ndio uanaumee
 
Shaver za Dorco buku mbili jero pis tano, dawa ya meno closeup au sensodyne, nivea dry fresh for men Deodorant, taulo zako mbili nywele kama umefuga unanunua shampoo ya grace buku tu, unakua unaziosha unatana zinakaa kwa mpangilio, ndevu unanyoa unaacha uchebe kidogo, jinzi usivae ya kubana sana iwe one colour wala isiwe ya kuchanika magotini, na formsix yako au tishirt round, unaswaki asubuhi na usiku wakati wa kulala, unajifahidi unanunua mouthwash ya listerin buku nane, ukinyoa unayoa kwapani na vuzi la chini, ukioga unapitisha sabuni kwenye tundu za pua , maana hua zinanuka, then pitisha sabuni katikati ya vidole vya miguu na usivae viatu bila miguu kukauka maana itanuka tu kausha vizuri na kitambaa ndio weka soks yako maridadi vaa, boksa walau siku mbili unafua, usiavae boksa za mpira tafuta cotton hata za yarison, deodorant unapaka kwapani, unakua na body spray yako ya blue for men huna haja ya perfume kama uwezo ndio huo, saa yako mkononi tayari uko smart
Usafi ni raha sana,nikipiga jeans yangu ya calvin clein au cardet za pollo,ndani vesti ya Yarrison na shati ya brands kama polo,coctus nk afu mguuni nina buti yangu, ka nivea kwapani
Basi hata kama sina pesa ila huwa najiona maisha nimeyapatia sana
 
Kumekuwa na tabia za wanaume hasa hawa wa singeli kuutumia uchafu wao kama ndio uanaume

Unakuta mwanaume kakomaa matako yamepauka yanataka kuwa na upele upele kabisa kisa kutokupaka mafuta, harafu utasikia anasema "mwanaume hapaki mafuta matako"

Imekuwa hivyo hivyo kwa hawa wanaotembea kwa miguu wakiwa wamevaa sendo unakuta miguu imechakaa vumbu harafu utasikia "mwanaume unavaaje soksi"?

Nani aliwaambia wanaume msiwe mnanyoa nywele za kwapani?

Jamani eeeh! Usafi hauchagui mwanaume wala mwanamke usafi ni kwa wote
Punguza speed basi
Tuanzie hapa

Kwani ukiwa msafi na huna pesa na ukiwa mchafu na pesa umeipata kuna tatizo?
 
Ila usiombe ukakutana na hutu tu madem usajiri no D tunajifanya tusafi nje ila ndani sasa ukikapiga doggy style harufu inayotoka uko pakuchu ni hatari mzee wng kwa hiyo sisi wa kiume tuna uafadhari japo wanapenda kusema tuna nuka pumbu
😂 nimecheka eti namba D, ila yasemekana pakuchu ni kawaida kunuka
 
Kumekuwa na tabia za wanaume hasa hawa wa singeli kuutumia uchafu wao kama ndio uanaume

Unakuta mwanaume kakomaa matako yamepauka yanataka kuwa na upele upele kabisa kisa kutokupaka mafuta, harafu utasikia anasema "mwanaume hapaki mafuta matako"

Imekuwa hivyo hivyo kwa hawa wanaotembea kwa miguu wakiwa wamevaa sendo unakuta miguu imechakaa vumbu harafu utasikia "mwanaume unavaaje soksi"?

Nani aliwaambia wanaume msiwe mnanyoa nywele za kwapani?

Jamani eeeh! Usafi hauchagui mwanaume wala mwanamke usafi ni kwa wote
Huyo wako atakua mgogo ndgu wa jobu
 
Mwambie huyo huyo mchumba wako, usichanganye na wengine humu.....kama ni mchafu muelimishi atabadilika
Mimi nawaambia wachafu wote, kuna nyuzi imo humu inauliza eti ni sawa mwanaume kunywa juisi kwa mrija?

Nakemea mambo kama hayo mimi usiseme kama shemeji yako ni mchafu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom