Wanaume wachafu msiutumie uchafu wenu kama ndio uanaume

Kumekuwa na tabia za wanaume hasa hawa wa singeli kuutumia uchafu wao kama ndio uanaume

Unakuta mwanaume kakomaa makalio yamepauka yanataka kuwa na upele upele kabisa kisa kutokupaka mafuta, harafu utasikia anasema "mwanaume hapaki mafuta makalio"

Imekuwa hivyo hivyo kwa hawa wanaotembea kwa miguu wakiwa wamevaa sendo unakuta miguu imechakaa vumbu harafu utasikia "mwanaume unavaaje soksi"?

Nani aliwaambia wanaume msiwe mnanyoa nywele za kwapani?

Jamani eeeh! Usafi hauchagui mwanaume wala mwanamke usafi ni kwa wote
Wanaume wachafu sana kuliko wote ni wale wanaotembea na kila mwanamke anayekutana naye.
 
Hahaha
IMG_20211123_165708.jpg
 
Naunga kidole hoja kwa mwanaume kutopaka mafuta kalio fresh,pozi gani kwanza la kupakia mafuta ??,unapandisha juu hapa lazima liwe nene c unaliinua aya sasa jikute au unashusha chini au randomly hapa c litasambaa uwe uno kama lote, mbona haiiji ,Bora lawama vitu vingne co poa,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom