Wanaume wachache ndo wanaosalitiwa, wengi wanalipiziwa

sanalii

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,435
5,102
Women are not less human, they are full functioning being just as men, with biological and social differences.

Miongoni mwa ujinga wa mwanaume
1. Kuamini kua anahaki ya kuzaliwa ya ku cheat kwakua hawezi kuwa na mwanamke mmoja
2. Kutokujua nguvu ya mwanamke katika kulipiza kisasi.
3. Huamini maumivu anayoyapata mwanamke (emotionally) ni madogo kuliko mwanaume.

Mwanaume anaesalitiwa ni yupi?
1. Yeye ni muaminifu hamsaliti mwandani wake. ( Psychological )
2. Anatimiza majukumu ya familia kadri ya uwezo wake ( social and economy)
3. Anatimiza jukumu la ndoa, kwa kadri yeye na mwandani wake wanavyoona inafaa ( biological and emotional)
4. Anasimama kama kiongozi wa familia, akielekeza nini kifanyike ni nini hakifai, mfano anamuona mkewe anaanza mazoea ya shobo kwa wanaume, anampa oyo kali, mke anaeema anaenda kikazi kikazi sehemu fulani, yeye(mume) anajilidhisha na mazingira ya huko, na kama haelewi hamruhusu

Baada ya kua na sifa hizo kisha mke akatoka nje ya ndoa, kwa tamaa ya ziada ya hivyo vitatu, huyo mwanamke ni wakukaa nae mbali, kifupi ni malaya asietosheka. As a man, never have anything to do with a cheater, ditch the bitch out of your occean beach.

Mwanamke anaelipiza kisasi ni yupi ?
1. Ameshamkamata mume wake na mambo ya usaliti kibao, text, call etcetera kwa wanawake tofauti tofauti.

2. Yeye ndio baba wa familia, ajue watoto wamekula nini, wakiumwa na mahitaji yote, while mume ako busy na mambo yake. Yani hafanyi makusudically ila angewesa kufanya.

3. Mume hana time na mke, in short mke anakua yupo kama house girl, sex is only for reproduction purpose, hapa mke anafeel worthless. Akiona anaemvalue, she will bang that niga.

So men, fulfill your responsibility and do not trivialize women emotion.

Extra

" Ndoa iko poa, wanaoitia doa ni machangudoa, eti wakikohoa wameshaitoa, ila wanakokojoa inapita hadi noa, daa asee sio poa.wanosema kataa ndoa wanaboa"

My dedication to my lovely beautiful wife ❤️ .
"Forever and always by Shania Twain"
 
Sasa akilipa kisasi anapata faida gani zaidi ya k*ma yake kuchakazwa tu. N.B Mwanamke anayeshindana na mwanaume hana akili na haijui thamani yake kama mwanamke.
Kuna faida gani mwanaume anaposalitia akakodi watu wamlawiti mgoni wake, kisha mwanaume anafungwa miaka 30?

The same thing, wote tunaroho ya kulipiza visasi ila katika manifestation tofauti
 
Binafsi sipo kwenye hili kundi la mazwazwa, i know what i do.
 
Women are not less human, they are full functioning being just as men, with biological and social differences.

Miongoni mwa ujinga wa mwanaume
1. Kuamini kua anahaki ya kuzaliwa ya ku cheat kwakua hawezi kuwa na mwanamke mmoja
2. Kutokujua nguvu ya mwanamke katika kulipiza kisasi.
3. Huamini maumivu anayoyapata mwanamke (emotionally) ni madogo kuliko mwanaume.

Mwanaume anaesalitiwa ni yupi?
1. Yeye ni muaminifu hamsaliti mwandani wake. ( Psychological )
2. Anatimiza majukumu ya familia kadri ya uwezo wake ( social and economy)
3. Anatimiza jukumu la ndoa, kwa kadri yeye na mwandani wake wanavyoona inafaa ( biological and emotional)
4. Anasimama kama kiongozi wa familia, akielekeza nini kifanyike ni nini hakifai, mfano anamuona mkewe anaanza mazoea ya shobo kwa wanaume, anampa oyo kali, mke anaeema anaenda kikazi kikazi sehemu fulani, yeye(mume) anajilidhisha na mazingira ya huko, na kama haelewi hamruhusu

Baada ya kua na sifa hizo kisha mke akatoka nje ya ndoa, kwa tamaa ya ziada ya hivyo vitatu, huyo mwanamke ni wakukaa nae mbali, kifupi ni malaya asietosheka. As a man, never have anything to do with a cheater, ditch the bitch out of your occean beach.

Mwanamke anaelipiza kisasi ni yupi ?
1. Ameshamkamata mume wake na mambo ya usaliti kibao, text, call etcetera kwa wanawake tofauti tofauti.

2. Yeye ndio baba wa familia, ajue watoto wamekula nini, wakiumwa na mahitaji yote, while mume ako busy na mambo yake. Yani hafanyi makusudically ila angewesa kufanya.

3. Mume hana time na mke, in short mke anakua yupo kama house girl, sex is only for reproduction purpose, hapa mke anafeel worthless. Akiona anaemvalue, she will bang that niga.

So men, fulfill your responsibility and do not trivialize women emotion.

Extra

" Ndoa iko poa, wanaoitia doa ni machangudoa, eti wakikohoa wameshaitoa, ila wanakokojoa inapita hadi noa, daa asee sio poa.wanosema kataa ndoa wanaboa"

My dedication to my lovely beautiful wife .
"Forever and always by Shania Twain"
Kwaiyo unataka kusema Joan amelipa kisasi dhidi ya mheshimiwa?
 
Umeongea sahihi Kwa 90%

Mwanamke akikupenda kuku-cheat ni kazi ngumu Mno.
Tatizo linakuja pale unapooa Mwanamke asiyekupenda,
Pili, unaoa anayekupenda lakini unamfanyia uhuni, au unashindwa kumpa nafasi kama MKE.

Recently kumpata mtu mkapendana sawa ni ngumu. Although not impossible.
My take penda unapopendwa, ukiona una invest a lot of energy kwa mtu ambao anakuchukulia poa. Stop peleka hiyo energy kwa aspect zingine za maisha yako
 
Nadhani ulitakiwa useme kinyume chake. Sasa binti wa miaka 18 au 19 kumpiga matukio kijana wa umri wa miaka 18 au 19 au 20 hiyo ni kulipizia nini na unakuta kijana hajawahi kuwa na mahusiano previously?!

Nadhani hauelewi huu mchezo vema unaendaje.
 
Kusalitiwa kivp mkuu kwan hyo papuchi si mali yake master , yeye ndio anatakiwa ahamue ampe nan , ukijenga mind set ya hivyo mkuu utaokoa akili yako na kifo au kifungo au vyote kwa pamoja mkuu .
 
Women are not less human, they are full functioning being just as men, with biological and social differences.

Miongoni mwa ujinga wa mwanaume
1. Kuamini kua anahaki ya kuzaliwa ya ku cheat kwakua hawezi kuwa na mwanamke mmoja
2. Kutokujua nguvu ya mwanamke katika kulipiza kisasi.
3. Huamini maumivu anayoyapata mwanamke (emotionally) ni madogo kuliko mwanaume.

Mwanaume anaesalitiwa ni yupi?
1. Yeye ni muaminifu hamsaliti mwandani wake. ( Psychological )
2. Anatimiza majukumu ya familia kadri ya uwezo wake ( social and economy)
3. Anatimiza jukumu la ndoa, kwa kadri yeye na mwandani wake wanavyoona inafaa ( biological and emotional)
4. Anasimama kama kiongozi wa familia, akielekeza nini kifanyike ni nini hakifai, mfano anamuona mkewe anaanza mazoea ya shobo kwa wanaume, anampa oyo kali, mke anaeema anaenda kikazi kikazi sehemu fulani, yeye(mume) anajilidhisha na mazingira ya huko, na kama haelewi hamruhusu

Baada ya kua na sifa hizo kisha mke akatoka nje ya ndoa, kwa tamaa ya ziada ya hivyo vitatu, huyo mwanamke ni wakukaa nae mbali, kifupi ni malaya asietosheka. As a man, never have anything to do with a cheater, ditch the bitch out of your occean beach.

Mwanamke anaelipiza kisasi ni yupi ?
1. Ameshamkamata mume wake na mambo ya usaliti kibao, text, call etcetera kwa wanawake tofauti tofauti.

2. Yeye ndio baba wa familia, ajue watoto wamekula nini, wakiumwa na mahitaji yote, while mume ako busy na mambo yake. Yani hafanyi makusudically ila angewesa kufanya.

3. Mume hana time na mke, in short mke anakua yupo kama house girl, sex is only for reproduction purpose, hapa mke anafeel worthless. Akiona anaemvalue, she will bang that niga.

So men, fulfill your responsibility and do not trivialize women emotion.

Extra

" Ndoa iko poa, wanaoitia doa ni machangudoa, eti wakikohoa wameshaitoa, ila wanakokojoa inapita hadi noa, daa asee sio poa.wanosema kataa ndoa wanaboa"

My dedication to my lovely beautiful wife .
"Forever and always by Shania Twain"
Huwajui vizuri wanawake, wao wenyewe hawajui wanataka nini?
 
Back
Top Bottom