Wanaume Wabishi ndio tumebaki hewani

Hahahaha Kuna fundi simu huku leo ana foleni wabongo wanampelekea simu zimeharibika mtandaoni hawaingii awatengenezee
 
Plan A ikishindikana kuna plan B kuliombea life tuu taifa likombolewe
Tukampigie kura chuma JPM! Tunataka Tz iwe Kama ulaya si ndio eeh! Hima tuchague maende5 na amani! Magu ndio mpango mzima!
 
Mimi naweka tamko rasmi la wizara ya mambo ya nje likitetea na kuwalinda mashoga Tanzania. Na wewe nope bandiko moja la Tundu Lissu likitetea ushoga .
hapo umechomoa betri
 
Mimi naweka tamko rasmi la wizara ya mambo ya nje likitetea na kuwalinda mashoga Tanzania. Na wewe nope bandiko moja la Tundu Lissu likitetea ushoga .
Adui ujinga bado anawatafuna Watanzania.
 
Tunapiga ndani, tunapiga nje... Haina kugota ,speed 240 mteremkoni na mlimani tunapanda nayo, kwenye tuta hatukanyagii, kwenye kona hatufinyi moto ule ule baba ake... Hatutegemei kuwika kwa jogoo. Awike asiwike kutakucha tu....
 
Back
Top Bottom