Wanaume Wabishi ndio tumebaki hewani

Wanaume Wabishi ndio tumebaki hewani

Mimi naweka tamko rasmi la wizara ya mambo ya nje likitetea na kuwalinda mashoga Tanzania. Na wewe nope bandiko moja la Tundu Lissu likitetea ushoga .
Achana nae uyo anatafuta mashoga wenzake
 
Screenshot_20201028-081751~2.png
 
Tukampigie kura chuma JPM! Tunataka Tz iwe Kama ulaya si ndio eeh! Hima tuchague maende5 na amani! Magu ndio mpango mzima!
Nilinajaza tu vyoo vya ikulu hamna anachofanya cha maana.

Lifeee
 
shenzzz type unautapia mlo wa akili si bure
😂😂😂😂! Hilo linaitwa jiwe la kutupia gizani ukisikia kelele Kama hizo ulizotoa unajua limempata za pua😂😂😂😂! Pole Sana njoo hospitali utibiwe, au Basi ubadirishwe jinsia kabisa ili uwe unafanyiwa kujali! Maana hakuna kujali anayeweza mpigia kura shoga!
JPM ndio mpango mzima!
 
Weusi Wagumu Asilia, Wabishi, Watukutu, Wajuba aka Wakulu Kumwao. Ndio tunaelea elea mawinguni namna hii...

Wengi wanalalamika mitandano haipatikani. Sisi Wakulungwa tunapasua anga tu toka sehemu mbalimbali za Dunia. Tutawaletea habari za Tanzania hapa hapa JF. Mtazikuta siku Mkirudi msiwe na wasi

Hakuna kulala kuanzia muda huu tunazungusha dish kila sehemu kukamata matukio. Usawa tunaotega ni ule tunaopata bandwith kwa asilimia jiti

Tunapiga chini, tunapiga juu. Tunapiga kushoto ,tunapiga kulia. Kisha tunapiga mbele na tunapiga nyuma. Yaani hakuna kulala na kulaza bakora
Hahahah kweli aisee
 
Kapige kura ili msiseme tulifanya makosa tena 2020, tutaonekana wote MATAGA
 
Weusi Wagumu Asilia, Wabishi, Watukutu, Wajuba aka Wakulu Kumwao. Ndio tunaelea elea mawinguni namna hii...

Wengi wanalalamika mitandano haipatikani. Sisi Wakulungwa tunapasua anga tu toka sehemu mbalimbali za Dunia. Tutawaletea habari za Tanzania hapa hapa JF. Mtazikuta siku Mkirudi msiwe na wasi

Hakuna kulala kuanzia muda huu tunazungusha dish kila sehemu kukamata matukio. Usawa tunaotega ni ule tunaopata bandwith kwa asilimia jiti

Tunapiga chini, tunapiga juu. Tunapiga kushoto ,tunapiga kulia. Kisha tunapiga mbele na tunapiga nyuma. Yaani hakuna kulala na kulaza bakora
Serikali ya ccm inazima lini vingamuzi ?
 
Back
Top Bottom