Frank Hood
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 598
- 1,383
Kuna Wanaume wanachepuka wana strong reason ya kuchepuka na huyu atakulinda ata kwa Mke wake na haofii ndoa yake kupotea ilimrad kuwe na factor nyngne zinazoeleweka ila kuna Wanaume wanachepuka na hawana reason ya kuchepuka,hao ujue hawawez kukulinda ata iweje...atailinda ndoa yake kwa vyovyoteYap nimepigwa changa la machoo , nimejitoa hadi mwisho kumbe mwanaume yupo na mpenzi wake aliyemtambulisha tayari , majuzi kati simu ikapigwa kupokea anasema mke wangu halali Kisa message zako muhakikishie siye ni marafiki tu nasio wapenzi , halafu nikakata mwanamke akapiga akanikanya yalaah sijui waafrika wananionaje?? Kama taktaka hivi
Ila Mzigua90 bhana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwenzako angevaa nini sasa na kakuta nguo kwa boyfriend wenu
Sitawahi kwa leo ebu tufanye hata kwa simu tu...nina imani na wewe mtumishi🤗😃😃 njoo chap Kanisani
Tuma sadaka kwanzaSitawahi kwa leo ebu tufanye hata kwa simu tu...nina imani na wewe mtumishi🤗
Na wewe , ukikuta ya mwanamke mwenzio pita nayo tu, fresh...Hellow lovers,
Wanaume wabaya sana sana vuta picha mtu unampenda sana unaenda kumtembelea una mkuta na mwanamke amevaa khanga yako na tishet yako ambayo ulimpelekea mpenzi kama zawadi.
Mkuu dudu isifananishwe na mengine. Wivu kwenye mapenzi sunna mkuuIla Mzigua90 bhana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi wewe dada unakuwaga na wivu kweli?
Naonaga unasujudu sana kinywaji kuliko dudu[emoji23][emoji23]
Hebu funga...dudu au kinywaji zaidi[emoji16]
Mbna unacheka au humpendi mmeoHahaj gari ndo nn langu
Njoo kwangu myHellow lovers,
Wanaume wabaya sana sana vuta picha mtu unampenda sana unaenda kumtembelea una mkuta na mwanamke amevaa khanga yako na tishet yako ambayo ulimpelekea mpenzi kama zawadi.
Mtumishi mbona gafla sana😀😀Tuma sadaka kwanza