Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,728
Nilivyokusoma mimi kwa haraka harakaHabari zenu wana jukwaa, hivi inakuaje mwanaume anakua tegemezi?? Nna huyu boyfriend naona sasa amezidi, ukweli ni kwamba Mimi nna hela na sioni shida kumpa chochote ila tunakoelekea naona anaona dezo sana...mfano: Mimi nilisafiri kikazi morogoro akaja for a visit weekend huwezi amini alikuja na nauli ya kujia tu, kukaa na outing zote alinitegemea Mimi hadi nauli ya kurudia, niliboreka kwakweli...baada ya kurudi Dar nikakuta gari yake mbovu ametumia kama 1million kutengeneza na sikumsaidia Kwa chochote akaanza kunigombeza eti ametumia ela nyingi hata simjali financially ametetereka Mimi nipo tu..na wakati ananihombeza ivo akanipora pochi akachukua elfu 50 akaemda kunywa bia bar...the other time tukatoka outing akasema hana hela nikampa laki na nusu azishike yeye tukatoka tukakaa kama 1hr then tukaondoka tulitumia kama elfu 30 tu...huwezi amino aikurudishiwa chenji...nikimdai anazingua, ivi mwanaume unakuaje hivi tho shoo moja moja anasimamia ila anavo demand mmmh...so sawa
Kwa bed hana lolote hajui kabisaaaa
Tatizo la ugonjwa wa SIZONJE La Kukurupuka limekupata wewe pole sanaHabari zenu wana jukwaa, hivi inakuaje mwanaume anakua tegemezi?? Nna huyu boyfriend naona sasa amezidi, ukweli ni kwamba Mimi nna hela na sioni shida kumpa chochote ila tunakoelekea naona anaona dezo sana...mfano: Mimi nilisafiri kikazi morogoro akaja for a visit weekend huwezi amini alikuja na nauli ya kujia tu, kukaa na outing zote alinitegemea Mimi hadi nauli ya kurudia, niliboreka kwakweli...baada ya kurudi Dar nikakuta gari yake mbovu ametumia kama 1million kutengeneza na sikumsaidia Kwa chochote akaanza kunigombeza eti ametumia ela nyingi hata simjali financially ametetereka Mimi nipo tu..na wakati ananihombeza ivo akanipora pochi akachukua elfu 50 akaemda kunywa bia bar...the other time tukatoka outing akasema hana hela nikampa laki na nusu azishike yeye tukatoka tukakaa kama 1hr then tukaondoka tulitumia kama elfu 30 tu...huwezi amino aikurudishiwa chenji...nikimdai anazingua, ivi mwanaume unakuaje hivi tho shoo moja moja anasimamia ila anavo demand mmmh...so sawa
Ushauri we WAKUSWAMPA piga chini weka kifaa kingine kipya safari iendeleeHabari zenu wana jukwaa, hivi inakuaje mwanaume anakua tegemezi?? Nna huyu boyfriend naona sasa amezidi, ukweli ni kwamba Mimi nna hela na sioni shida kumpa chochote ila tunakoelekea naona anaona dezo sana...mfano: Mimi nilisafiri kikazi morogoro akaja for a visit weekend huwezi amini alikuja na nauli ya kujia tu, kukaa na outing zote alinitegemea Mimi hadi nauli ya kurudia, niliboreka kwakweli...baada ya kurudi Dar nikakuta gari yake mbovu ametumia kama 1million kutengeneza na sikumsaidia Kwa chochote akaanza kunigombeza eti ametumia ela nyingi hata simjali financially ametetereka Mimi nipo tu..na wakati ananihombeza ivo akanipora pochi akachukua elfu 50 akaemda kunywa bia bar...the other time tukatoka outing akasema hana hela nikampa laki na nusu azishike yeye tukatoka tukakaa kama 1hr then tukaondoka tulitumia kama elfu 30 tu...huwezi amino aikurudishiwa chenji...nikimdai anazingua, ivi mwanaume unakuaje hivi tho shoo moja moja anasimamia ila anavo demand mmmh...so sawa
HovyooooKwa bed hana lolote hajui kabisaaaa
sasa huyo mwanaume gani wa mtindo huo? yani wote walie kupigwa mizinga, ye ndo awe badala yake?... na yeye ni wa DAR au?.. wewe binafsi unajivunia nini kuwa naye mwanaume ambaye anaimbwa na Vanessa Mdee kila baada ya nusu saa?... swali la mwisho mko kwenye uhusiano kwa muda gani mbaka sasa?Kwa bed hana lolote hajui kabisaaaa
Umeongea vizur mkuu ebu pata Pepsi barid,I wish mtu fudenge angesoma ulichosema hpaUfahamu ndio unaomfanya mwanadamu atofautiana na wanyama wa porini....
Mwanadamu anapoutumia vyema ufahamu wake.....anaweza kuyatawala....vyema maisha yake na kuishi kwa raha mustarehe.....
Mwanadamu anapoyaendekeza matamanio na kuuweka pembeni ufahamu wake....basi lazima atakumbana na mabalaa makubwa maishani mwake.......
Think big......take control of your life.....
YOU ARE RIGHT MAN11xs outta 10 wanawake wanaohudumia wanaume wa dizaini ya huyo wako, kupata hela kwao ni rahisi kuliko kupata wanaume.
usawa tatizo.kapinge Beijing China .utapata masaada maana ata yeye anatumia nguvu kukugegea tumia pesa zikuuzoeeHabari zenu wana jukwaa, hivi inakuaje mwanaume anakua tegemezi?? Nna huyu boyfriend naona sasa amezidi, ukweli ni kwamba Mimi nna hela na sioni shida kumpa chochote ila tunakoelekea naona anaona dezo sana...mfano: Mimi nilisafiri kikazi morogoro akaja for a visit weekend huwezi amini alikuja na nauli ya kujia tu, kukaa na outing zote alinitegemea Mimi hadi nauli ya kurudia, niliboreka kwakweli...baada ya kurudi Dar nikakuta gari yake mbovu ametumia kama 1million kutengeneza na sikumsaidia Kwa chochote akaanza kunigombeza eti ametumia ela nyingi hata simjali financially ametetereka Mimi nipo tu..na wakati ananihombeza ivo akanipora pochi akachukua elfu 50 akaemda kunywa bia bar...the other time tukatoka outing akasema hana hela nikampa laki na nusu azishike yeye tukatoka tukakaa kama 1hr then tukaondoka tulitumia kama elfu 30 tu...huwezi amino aikurudishiwa chenji...nikimdai anazingua, ivi mwanaume unakuaje hivi tho shoo moja moja anasimamia ila anavo demand mmmh...so sawa
sio suruali .tatizo huduma .kugegedwa ndio a.k.a dushe full sizeDuuuuh poleee sana wanaume suruali mbona wapo kibao sana dada angu

Sasa unamng'ang'ania wa nini wakati kwa bed hana lolote? Lakini anakukojelesha madam!Kwa bed hana lolote hajui kabisaaaa