Daaah, umenichekesha sana. Awakabiz wakwao kwani amekua Mtoto? HahaahaKama ni hivo unaendelea kumhifadhi wa nn,,,,,? Cha kufanya Waite wa kwao umkabidhi kwa ndugu zake kuliko kuendelea kuanikana humu,,,,,,!
Mpe tu mpaka na wewe uwe vibaya financially, mbona wakati yupo vizuri alikuwa anagharamikia vyote hivyo na kukupa pesa hukuja hapa kuomba ushuri!Habari zenu wana jukwaa, hivi inakuaje mwanaume anakua tegemezi?? Nna huyu boyfriend naona sasa amezidi, ukweli ni kwamba Mimi nna hela na sioni shida kumpa chochote ila tunakoelekea naona anaona dezo sana...mfano: Mimi nilisafiri kikazi morogoro akaja for a visit weekend huwezi amini alikuja na nauli ya kujia tu, kukaa na outing zote alinitegemea Mimi hadi nauli ya kurudia, niliboreka kwakweli...baada ya kurudi Dar nikakuta gari yake mbovu ametumia kama 1million kutengeneza na sikumsaidia Kwa chochote akaanza kunigombeza eti ametumia ela nyingi hata simjali financially ametetereka Mimi nipo tu..na wakati ananihombeza ivo akanipora pochi akachukua elfu 50 akaemda kunywa bia bar...the other time tukatoka outing akasema hana hela nikampa laki na nusu azishike yeye tukatoka tukakaa kama 1hr then tukaondoka tulitumia kama elfu 30 tu...huwezi amino aikurudishiwa chenji...nikimdai anazingua, ivi mwanaume unakuaje hivi tho shoo moja moja anasimamia ila anavo demand mmmh...so sawa
Dada pole sana, naona watu wanaogopa kukuambia ukweli. Ukweli ni kwamba huyo mwanaume hakupendi kabisa ndio maana anakufanyia hivyo. Tuliza akili fikiri jinsi ulivyompata. Inawezekana unalazimisha punda kunywa majiHabari zenu wana jukwaa, hivi inakuaje mwanaume anakua tegemezi?? Nna huyu boyfriend naona sasa amezidi, ukweli ni kwamba Mimi nna hela na sioni shida kumpa chochote ila tunakoelekea naona anaona dezo sana...mfano: Mimi nilisafiri kikazi morogoro akaja for a visit weekend huwezi amini alikuja na nauli ya kujia tu, kukaa na outing zote alinitegemea Mimi hadi nauli ya kurudia, niliboreka kwakweli...baada ya kurudi Dar nikakuta gari yake mbovu ametumia kama 1million kutengeneza na sikumsaidia Kwa chochote akaanza kunigombeza eti ametumia ela nyingi hata simjali financially ametetereka Mimi nipo tu..na wakati ananihombeza ivo akanipora pochi akachukua elfu 50 akaemda kunywa bia bar...the other time tukatoka outing akasema hana hela nikampa laki na nusu azishike yeye tukatoka tukakaa kama 1hr then tukaondoka tulitumia kama elfu 30 tu...huwezi amino aikurudishiwa chenji...nikimdai anazingua, ivi mwanaume unakuaje hivi tho shoo moja moja anasimamia ila anavo demand mmmh...so sawa
Daah pole huo ni mzigo, shtuka mapemaHabari zenu wana jukwaa, hivi inakuaje mwanaume anakua tegemezi?? Nna huyu boyfriend naona sasa amezidi, ukweli ni kwamba Mimi nna hela na sioni shida kumpa chochote ila tunakoelekea naona anaona dezo sana...mfano: Mimi nilisafiri kikazi morogoro akaja for a visit weekend huwezi amini alikuja na nauli ya kujia tu, kukaa na outing zote alinitegemea Mimi hadi nauli ya kurudia, niliboreka kwakweli...baada ya kurudi Dar nikakuta gari yake mbovu ametumia kama 1million kutengeneza na sikumsaidia Kwa chochote akaanza kunigombeza eti ametumia ela nyingi hata simjali financially ametetereka Mimi nipo tu..na wakati ananihombeza ivo akanipora pochi akachukua elfu 50 akaemda kunywa bia bar...the other time tukatoka outing akasema hana hela nikampa laki na nusu azishike yeye tukatoka tukakaa kama 1hr then tukaondoka tulitumia kama elfu 30 tu...huwezi amino aikurudishiwa chenji...nikimdai anazingua, ivi mwanaume unakuaje hivi tho shoo moja moja anasimamia ila anavo demand mmmh...so sawa
Endelea tu Kulisha na Kunywesha...!Si unampenda...!Kwani kuna mtu alikutuma ukaleeHabari zenu wana jukwaa, hivi inakuaje mwanaume anakua tegemezi?? Nna huyu boyfriend naona sasa amezidi, ukweli ni kwamba Mimi nna hela na sioni shida kumpa chochote ila tunakoelekea naona anaona dezo sana...mfano: Mimi nilisafiri kikazi morogoro akaja for a visit weekend huwezi amini alikuja na nauli ya kujia tu, kukaa na outing zote alinitegemea Mimi hadi nauli ya kurudia, niliboreka kwakweli...baada ya kurudi Dar nikakuta gari yake mbovu ametumia kama 1million kutengeneza na sikumsaidia Kwa chochote akaanza kunigombeza eti ametumia ela nyingi hata simjali financially ametetereka Mimi nipo tu..na wakati ananihombeza ivo akanipora pochi akachukua elfu 50 akaemda kunywa bia bar...the other time tukatoka outing akasema hana hela nikampa laki na nusu azishike yeye tukatoka tukakaa kama 1hr then tukaondoka tulitumia kama elfu 30 tu...huwezi amino aikurudishiwa chenji...nikimdai anazingua, ivi mwanaume unakuaje hivi tho shoo moja moja anasimamia ila anavo demand mmmh...so sawa
bora apore papuchi sio?Pole dada yetu mpendwa ila huyo mwanaume wa kupora pochi hapana!!![]()