Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,172
- 26,907
Huyo si mmasai wako mwenye kinyama kwa chini.
Ndio ulichompendea
Ndio ulichompendea
Shuga mamiiiHabari zenu wana jukwaa, hivi inakuaje mwanaume anakua tegemezi?? Nna huyu boyfriend naona sasa amezidi, ukweli ni kwamba Mimi nna hela na sioni shida kumpa chochote ila tunakoelekea naona anaona dezo sana...mfano: Mimi nilisafiri kikazi morogoro akaja for a visit weekend huwezi amini alikuja na nauli ya kujia tu, kukaa na outing zote alinitegemea Mimi hadi nauli ya kurudia, niliboreka kwakweli...baada ya kurudi Dar nikakuta gari yake mbovu ametumia kama 1million kutengeneza na sikumsaidia Kwa chochote akaanza kunigombeza eti ametumia ela nyingi hata simjali financially ametetereka Mimi nipo tu..na wakati ananihombeza ivo akanipora pochi akachukua elfu 50 akaemda kunywa bia bar...the other time tukatoka outing akasema hana hela nikampa laki na nusu azishike yeye tukatoka tukakaa kama 1hr then tukaondoka tulitumia kama elfu 30 tu...huwezi amino aikurudishiwa chenji...nikimdai anazingua, ivi mwanaume unakuaje hivi tho shoo moja moja anasimamia ila anavo demand mmmh...so sawa
When you love permanently where you loved temporaryHabari zenu wana jukwaa, hivi inakuaje mwanaume anakua tegemezi?? Nna huyu boyfriend naona sasa amezidi, ukweli ni kwamba Mimi nna hela na sioni shida kumpa chochote ila tunakoelekea naona anaona dezo sana...mfano: Mimi nilisafiri kikazi morogoro akaja for a visit weekend huwezi amini alikuja na nauli ya kujia tu, kukaa na outing zote alinitegemea Mimi hadi nauli ya kurudia, niliboreka kwakweli...baada ya kurudi Dar nikakuta gari yake mbovu ametumia kama 1million kutengeneza na sikumsaidia Kwa chochote akaanza kunigombeza eti ametumia ela nyingi hata simjali financially ametetereka Mimi nipo tu..na wakati ananihombeza ivo akanipora pochi akachukua elfu 50 akaemda kunywa bia bar...the other time tukatoka outing akasema hana hela nikampa laki na nusu azishike yeye tukatoka tukakaa kama 1hr then tukaondoka tulitumia kama elfu 30 tu...huwezi amino aikurudishiwa chenji...nikimdai anazingua, ivi mwanaume unakuaje hivi tho shoo moja moja anasimamia ila anavo demand mmmh...so sawa
Inaonyesha wewe ni mkubwa zaidi ya boyfriend wakoHabari zenu wana jukwaa, hivi inakuaje mwanaume anakua tegemezi?? Nna huyu boyfriend naona sasa amezidi, ukweli ni kwamba Mimi nna hela na sioni shida kumpa chochote ila tunakoelekea naona anaona dezo sana...mfano: Mimi nilisafiri kikazi morogoro akaja for a visit weekend huwezi amini alikuja na nauli ya kujia tu, kukaa na outing zote alinitegemea Mimi hadi nauli ya kurudia, niliboreka kwakweli...baada ya kurudi Dar nikakuta gari yake mbovu ametumia kama 1million kutengeneza na sikumsaidia Kwa chochote akaanza kunigombeza eti ametumia ela nyingi hata simjali financially ametetereka Mimi nipo tu..na wakati ananihombeza ivo akanipora pochi akachukua elfu 50 akaemda kunywa bia bar...the other time tukatoka outing akasema hana hela nikampa laki na nusu azishike yeye tukatoka tukakaa kama 1hr then tukaondoka tulitumia kama elfu 30 tu...huwezi amino aikurudishiwa chenji...nikimdai anazingua, ivi mwanaume unakuaje hivi tho shoo moja moja anasimamia ila anavo demand mmmh...so sawa
Ingia you tube, andika " Baba Gaston Ilunga"-- Nyimbo zake zote ziko hapo. Pakua wimbo unaotakaHivi waungwana nitapataje ule wimbo wa xmass unaimbwa hivi,akoleleee mamaaa akoleleee,viva xmass wa mbanga gaston,msaada plz
Amenizidi mwaka mmoja, he is 28Inaonyesha wewe ni mkubwa zaidi ya boyfriend wako
Sasa unakomaa nae kwa lipi kama kwa bed zero kukata mkwanja hajui.....the guy must be useless then!! Puuuuuuuhh!!! hadi naskia hasira yaani!!Kwa bed hana lolote hajui kabisaaaa
Uongo wewe umesema una 29 nadhani yeye ni 24 ndo maana Bado Anaishi kwaoAmenizidi mwaka mmoja, he is 28