True....meipenda sana hiyo
Ila mbona hujatueleza hayo maongezi ni kina nani walikuwa wanaongea, si ajabu ulikuwa unawasikiza watu wawili wenye mtindio wa ubongo wakiongea.
hahahaha! Daaah! Missing u saaana!!
Ila mbona hujatueleza hayo maongezi ni kina nani walikuwa wanaongea, si ajabu ulikuwa unawasikiza watu wawili wenye mtindio wa ubongo wakiongea.
Hujambo wewe?
Eti kidume akiwa mjamzito anakuaje?