sijakasirika, nafikiria tu.
mtanga wangu alikuwa ndio mwenyewe
kuna huyo mchagga mmoja niliwahi toka naye, ukimwambia bby luv u kwenye simu, saa hiyo hiyo utasikia hivi ilie m-pesa nilikutumia umpe mrosso imefika?? mwambie apakize mbao nazitaka leo leo! namwambia bby basi nijibu, utasikia bana ee ile nilikwambia siku nakutongoza inatosha! nakutumia pesa baadae, kwaheri! lol! yalinishinda na pesa zake nikamuachia khaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! lol
mtanga wangu alikuwa ndio mwenyewe
Yaani siku hizi hakuna cha kabila wala nini inategemea na mtu
Yaani siku hizi hakuna cha kabila wala nini inategemea na mtu
Sijui!
Wachagga??? Mmmh...yaan hawa watu wa huko nadhan wamrithi mambo ya mababu zao mpk keroo,niwatafutaji mwanzo mwisho awe wa mjini awe wa bush..hawapo creative ktk mapenz..kwanza hata hilo neno creativity ktk mapenz ni geni kwao..we taja PESA ooohhooooo fasta atakupa michakato km elfu tano ikiwemo kulala njaa ili mambo yaende..
Wachaga hoyeeeee!
Wachaga juuuuuu!
hahaha, u made my day!
dah? nimecheka sana
Mbavu zangu...
Hapa kila mtu anaanza na "nasikia...nasikia..." Mnasahau kuwa "no research no right to speak". Tunataka fact kwa wale waliojaribu si kusikia tu. Lol.
mie najua wanawake wa kinyambo ..moto chini lol