Wanaume wa tabia hii wanasikitisha sana

Wanaume wa tabia hii wanasikitisha sana

Na mwanamke anayeamua kuolewa na mwanamme ambaye umri wake ni sawa na babu yake tabia hiyo huwa inanisikitisha sana
 
achukue tena damu nzee ya nini! *soma tafiti zinasemaje juu ya mabint wabichi hujui ni "anti-aging catalyst"huoni vibint vinavyo paramia wazee vinavyochakaa vibaya,unafikiri kwanini vbnt huitwa ni dawa ya kiuno na mgongo pls note it.....
 
Mbona husemi wanawake watu wazima wanaoolewa na watoto wadogo mfano yule mheshimiwa wa mjengoni?
 
achukue tena damu nzee ya nini! *soma tafiti zinasemaje juu ya mabint wabichi hujui ni "anti-aging catalyst"huoni vibint vinavyo paramia wazee vinavyochakaa vibaya,unafikiri kwanini vbnt huitwa ni dawa ya kiuno na mgongo pls note it.....

Kumbe ni dawa ya kiuno.
 
Back
Top Bottom