Wanaume wa NZEGA tu!

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,805
637
Jitokeni kwenye tohara acheni uoga, mshalipiwa. Miaka 20 na zaidi tunawapa kipau mbele...chini ya hapo mtatairiwa baade jioni, jioni. Ila lzama tuwatahiri acheni uoga.

Kumbukeni ...tohara is good is clean!!
 
aaah bhana mie nna GOVI na kwa kuwa tupo wachache tunagombaniwa na wanawake wanataka waonje GOVI bhana
 
Mkitoka huko nendeni msoma alafu kamateni waku.... na waji.... Kumi kumi muwaserch wana magovi. Kwao kama fasheni kwi kwi kwi....
 
hiyo makitu mkuu ni uchafu halafu ni kichocheo cha magonjwa ya sehemu nyeti



Suala la uchafu nakataa,mngetakiwa kuwafundisha kujisafisha, mbona asilimia kubwa ya wazungu hawayakati na hawana magonjwa mengi kama hao wa huko.Hapo kuna kitu kingine inatakiwa kuwafundisha hao jamaa lakini sio kuwakata magovi yao kwa kisingizio cha usafi mkuu..
 
Ndo mana ziondaughter kasema chichat imekaa full kungononeka.
 
Last edited by a moderator:
hahaha nilenda mbeya nikakuta wanasema fyaa maganda fitamu kuliko fya kumenya sasa huo mkono wa sweta ukiondolewa sijui itakuwaje
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom