Wanaume wa Marekani mna nini?

Hahahaaa hata sisi ni ndugu zao ujue?

Lakini kutwa kucha masimango tu humu!
Hahaha.

Halafu mwana kama si defence attorney ungefaa sana kuwa.

Unanikumbusha Headmaster wa Tambaza akiitwa Julius Mushi.

Wanafunzi wa Tambaza hata wafanye fujo vipi. Yeye swali lake la kwanza ni "Wangu walioumizwa ni wangapi? Kuna wangu wameumizwa pia".

Julius siku zote anaangalia interest zake.
 

Naam, basi hiyo yaweza kabisa kuwa ni hulka ya akina Julius...

Julius Nyerere..Julius Caesar..Julius Mushi..na akina Julius wengine wengi tu ninaowafahamu wako hivyo😀.
 
"mwambie aje mimi nipo bwana natafuta mchumba au sio shem". Nikamjibu, na mme wako je, maana kwa kumbukumbu zangu ni kama ulishaolewa? Akajibu, "mtu mwenyewe haeleweki"
 
siu hizi hatari tunaakiwa kujifunza mengi yandoa mapungufu udhaifu strenght ili kusiw na tamaa na kutaka kulagaika na USA BABY...akili nazo zinatakiwa...hudumanzuri....sasa hapo ni pesa au migegedondio anaikosa kwa mume wake,,!!????
 
Kuna watu wana imaginations za ajabu kweli ikiwemo wewe mwenyewe.

Hujui kama mimi ni Mmarekani au la. Huwezi kulithibitisha hilo.

Hivyo acha kutoa kauli za maazimio!

Ndio maajabu ya JF, unaweza kukuta mtu anaishi Mgwelampasi sisi tunadhani yupo NYC au WDC!
 

Yaani mi wangu yuko nje ila hadi nadata muda mwingine yeye muda wote kazi.... saa nyingine nakasirika... saa nyingine naona sawa...najizoelea huwa ananielezea maisha ya huko ila acha tu

halafu time difference ndio hatari nikiwa free yeye masaa ya kulala.. akiwa free niko kibaruani.
 
Hivii obama alifika Bongo? Trump anamuita Raisi Dhaifu... na wa kwetu miaka ile alitwa na Dhaifu na Mnyika... kweli wenye nyota moja hukutana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…