Wanaume wa Marekani mna nini?

Hahahahaha dude si unajua mambo ya mitandao.. Sema una mikogo flani ambayo unawakomesha nayo sana wala vumbi.. Hahahaha
 
Hahahahaha dude si unajua mambo ya mitandao.. Sema una mikogo flani ambayo unawakomesha nayo sana wala vumbi.. Hahahaha

Hahaaaa tatizo wala vumbi wana machungu mno na maisha. Wafa maji tu hao. Ngoja niende zangu nikapate Heineken kwenye bar ya Heineken.....

Sugu anamwambia @Magufuli "Take a jet brother",
Magufuli bado hajatia timu USA kabisa!
 
Kuna wala vumbi ukirudi wanakuuliza inakuwaje viatu vyote vipya umenunua vyote wakati unakaribia kurudi? Ukiwaambia hapana vingine hapa vina miaka miwili au zaidi wanashangaa! Sasa ukiwaeleza unaviona hivi kwasababu majuu hakuna vumbi yaani hakuna hata mchanga unaokanyaga, ukitoka ndani pavement,garden mpaka unapoenda.....hawakuelewi kabisa!
 
USA is USA ,kila mtu anataka kwenda huko,Hata iwe libya,syria,Iran,Iraq,woote wanao iponga ndo unawakita ibalozini kila siku wanaliwa hela za visa alafu hizo hela zinarudishwa kama mradi wa maendeleo,Grant,loan, etc

Chezea ngozi nyeupe inalala imeshika kichwa ,we mwenzangu unalala umeshika hapo kwenye dushe
 
mnamiliki nini huko USA, Isije ukawa busy for nothing, nyumba umepanga, gari ya mkopo, unaringishia opicha nzuri ulizopiga kwenye majengo ya wenye helaaaaa, njoo ulime manansi huku kwetu, umiliki ardhi, usafiri nyumba na kila kitu unachotamani
 
Vyote ulivyovitaja niliishavimiliki kitambo kabla ata sijaja USA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…