Wanaume wa Marekani mna nini?

Dada yangu mwenyewe si unaona, mpaka mtu kaja na kudai yeye anaishi NYC na mkurugenzi wa kampuni, sasa jamani!
Nilivyoingia NYC katika kulijua jiji nilikuwa nazungumza na mzee mmoja OG wa NYC long time. Tukawa tunaongea NYC creds. Nikawa nauliza kwa nini NYC ina rep ya kuwa arrogant as shyt. Mkubwa akasema NYC kuna wakuja na wale wa zama na zama. Wakuja ndio wana matata sana ya kusema "nakaa NYC" and all that crazy talk. Wakati watu waliokaa miaka na miaka hata hawana kujishaua kwa sababu wanaona kukaa NYC kitu cha kawaida.

Kwa hiyo ukimsikia mtu anajisifia mkurugenzi wa kampuni fulani nakaa NYC ujue huyo karubandika.

Wakurugenzi wenyewe utaambiwa tu habari zao. Tena hawataki hata kujulikana.
 

Ohooo sasa mazee na wewe hapo hujasaidia katika kupoza joto lililopo humu.

Usije anza shukiwa kuwa wewe ndo mwanzisha mada kama tulivyoshukiwa wengine....
 
Wanaume wa Marekani mna nini?
Ukoloni mambo leo na akili ya utumwa inayokufanya kusahau mila, desturi na utamaduni wako utaendelea tesa jamii ya ki Tanzania mpaka watoto na vizazi vyetu vipate elimu na kuanza kuamini nasi twatakiwa kuwa na mwelekeo wetu, ikifika Mtanzania anaamini nchi ya kigeni alipo ni kama mbinguni na kama ni sehemu ya kunyanyasa watoto na dada zetu basi tujuwe huko waendako wanazidi potea, sijaona kama kumesemwa akirudi makampuni yanamkimbilia kumuajiri, au mabenki yanamtamani aweke hela zake huko, au wajenzi wanamkimbilia awape tender za ujenzi, au wakulima wanamuonea donge na matrekta na malori au maplau aliyorudi nayo?! Ila kaongea jinsi wakina dada wanavyotamani kuwa naye?! Inasikitisha sana, wazazi, wajomba, mashangazi, kaka na dada, jamii na kina @MagufuliJP na wenzake kazi wanayo...
 
Daaah kweli Marekani nomaaa.
Nyoja nitafute ile wanaita viza sijui nikachungulie [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 

Come on dude!

Why are you so uptight?

It ain't that serious.
 
Mmmhhhh,labda jina lkn sijaona cha ajabu nchi yenyewe ngumu angejua bila kuvuja jasho mambo hayaendi labda uwe changu doa,kila kitu kodi ya usoni inumiza bora kwetu walishajikatia kodi kabla bidhaa haijakufikia angalau huifeel maumivu yake. Marekani ht kumpiga mtu mzinga huwezi lbd ukopeshwe angalau bongo unamtia mtu mzinga ht jero atakupa na ndio maana wengi hawapendi kazi bongo anajua virungu nje nje ataishi. Wenzao wanahenyeka huko wakija bongo kutumia na kupumua sasa yale matumizi ndio yanayowachanganya wanawake wa bongo hawaelewi kuwa wenzao wapo likizo.
 

Kwa hiyo hoja yako ni nini hapa? Kwa sababu mada inahusu swala la mapenzi. Wewe ulitaka kila kitu kiandikwe hapa au?
 
USA baby.
 
Hahahaaa..

You got it!
Kwakweli nimeipenda.
Hii mada imenikumbusha movie moja ya Kinigeria "American dream" kama sikosei.
Mwanafunzi wa nursing alidata kwa wanigeria waliokuwa wanatoka America. Mwisho wa siku akajiingiza kwa muameeica fake kwa kupenda boys from America

America baby!
[emoji631] [emoji39]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…