Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,890
- 141,554
Kama yupo NYC kweli basi anafanya kazi za kuuza K, vinginevyo angekuwa na ujasiri wa kutupia japo picha moja kama Nyani Ngabu angalau kuonyesha mitaa alipo.
Jamani eeh basi yaishe sasa maana wengine mshaanza kuhisiwa kuwa ndo mimi.