Nyani Ngabu wewe no mmarekani? Samahani lakini kwa swaliHahahaaa hao wako wengi kichizi US.
Chinese restaurants kwa mfano zipo karibu kila kona ya US.
Hadi 'China towns' zipo.
Nina uhakika kuwa US kuna Chinese immigrants wengi [kwenye mamilioni] kuliko ambavyo China kuna American immigrants.
Nyani Ngabu wewe no mmarekani? Samahani lakini kwa swali
Powa powa mkuu nimekusoma.Bila hata ya samahani dadangu.
Mimi siyo Mmarekani. Ni Mtanzania.
Ni swagga na mbwembwe za mtandaoni tu.
Kwanza hakuna mtu hata mmoja humu aliyewahi kuniona huko Marekani. Hakuna. Hakuna. Hakuna.
Siku zote hizi tokea nimejiunga JF naweza kuwa nipo Majohe lakini nimejiweka kama vile nipo USA.
Hakuna ajuaye nilipo!
teh teh teh nacheka sana.
Powa powa mkuu nimekusoma.
Wewe ni shidaaaaah
Thumb up
Si wanasemaga USA kubwa hata wenyewe hawaonani?What's so funny?
Kwamba naweza kuwa naishi Majohe miaka yote hii?
Nipo serious...hakuna mtu humu aliyewahi kuniona huko USA.
Hahahaaa...umenifanya nichekee.I know how to keep and maintain my privacy!
Hata siku moja huwezi kuona nakala yangu ya driver's license au passport imewekwa humu.
Never ever.
Watu wataishia kuhisi tu...mara ooh NN ni kibabu...mara sijui nini....
Kuna watu wanaweka hivyo vitu humu?I know how to keep and maintain my privacy!
Hata siku moja huwezi kuona nakala yangu ya driver's license au passport imewekwa humu.
Never ever.
Watu wataishia kuhisi tu...mara ooh NN ni kibabu...mara sijui nini....
Kuna vitu fulani fulani unaweza kusema/kujua mtu ambae ameishi USA/UK tu.....huwezi kuzuga.What's so funny?
Kwamba naweza kuwa naishi Majohe miaka yote hii?
Nipo serious...hakuna mtu humu aliyewahi kuniona huko USA.
Aisee.Wengi sana
Kuna watu wanaweka hivyo vitu humu?
Kuna vitu fulani fulani unaweza kusema/kujua mtu ambae ameishi USA/UK tu.....huwezi kuzuga.
Hilo sijui.
Hapo nilichokuwa narejea ni lile tukio la watu kuweka nakala ya pasi ya Le Mutuz kule jukwaa la Celebrities.
Imagine yangu ikiwekwa....
Ila hata ikiwekwa, watakaoumbuka ni wengi mno.
Sura zitawashuka shuuuuu.
Maana watakachoona sicho walichokuwa wakikidhania.
Lakini kamwe haitoweza kutokea....
Hahahaaaaa! I can testfy to this. Kuumbuka vepeeeeeeee! Nyieeeeee.
Ila Lemutuz being 55 and above took me by surprise. I thought the guy was late 40s kumbe anaenda 60s damn! Ila Mange Kimambi kiboko yake, ndo alipewa ile passportna mke wa Lemutuz akai appload Instagram ndo ikaja huku.
Watu wakishaona USA humu akili yao yote inahamia kwa Nyani Ngabu😀.
Sasa hapa utaja ambiwa eti unaandika na kujijibu mwenyewe.
Ama kweli al junun funun!
Hahahahaha!! mkuu nimeipenda hii 'Al junun funun', ni lugha gani hii? Kiarabu?!...au?!, na maana yake nini? Aisee humu kuna vituko sana, mada ilikuwa inaenda mdogo mdogo, Bomu limetupwa hata lilipotokea haijulikani, limevuruga kila kitu.
Kuna watu wana hasira na Marekani humu doh!!! Why though? Yani wanakaribia kufa kwa hasira kisa ku prove Tz ni bora na marekani ni ushuzi kha!!! Rilaksini ndugu wala vyumbi wenzangu mtakufa siku si nyingi kwa mambo yasio muhimu