anajiona superstar (ni mjinga sifa zitakumaliza)
wanaume wote wanaojiona masuperstar nchi hii hata wewe kama upoMbona hilo ni kama dongo kwa mtu....?
wanaume wote wanaojiona masuperstar nchi hii hata wewe kama upo
tanzaniaNchi ipi hiyo?
tanzania
yanikute wapi ? unitoe out nikale wali dagaa mietehee....tehee........ yamekukuta!
good for youOh kumbe Tanzania...mimi sipo huko.
Nchi ipi hiyo?
mimi ni rough road sipitiwi na magari nyanyanaona umeandika ukiwa na mahasira yako kakupitia nini halafu shaaaaaa kama kawa maana na wewe uliingia kichwa kichwa anakudanganya ukakubali unadhani ni millionaire
mimi ni rough road sipitiwi na magari nyanya
Hahahah! Unatafuta ugomvi mkuu.ohooooo Rough road tena wa eneo gani Mto wa mbu ama Babati maana hawa ni so hakuna haja ya kutongoza ni kuwambia tu upo room number ngapi. dah we balaa