Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,346
- 9,892
Mkuu sio uzoba, ni upole tu. Na sio kweli kama wanaendeshwa ila hatuna asili ya ukatiliWasukuma wengi ni kama mazoba, kwenye kupenda. Wanaendeshwa sana na wake zao.
Mada hii imfikie Rafiki yangu Anaenijali KAUNGA.Habari wanajamvi,
Nadhani sisi wanaume wa Kisukuma ndo tunaongoza kwa kupenda na kujali wanawake zetu. Hii inachagiwa hasa kwa kuwa asili ya Wasukuma ni wakarimu sana, wapole, wanyenyekevu, waungwana na tunaojua kupenda kwa dhati.
Nadhani hata kwa wale dada zetu ambao wamewahi kutoka na Wasukuma watakuwa mashahidi wa hili.
Mkuu sio uzoba, ni upole tu. Na sio kweli kama wanaendeshwa ila hatuna asili ya ukatili
Wasukuma wengi ni kama mazoba, kwenye kupenda. Wanaendeshwa sana na wake zao.
Unapotaja Msukuma ni symbol ya ushamba. Mtu akikuambia wewe ni Msukuma maana yake ni wewe ni mshamba.