Wanaume wa KISUKUMA muache UZOMBIE! Huo sio ujanja kabisaa!

naona dalili za envy,wasukuma kimapenzi wako juu,kubembeleza,kujali,n.k msituumizie pse.Nyie bakini na dharau viburi vyenu

Jaman!
Kwani sisi hatuhongi?
Nachoongelea hapa ni balance! Kwangu mimi haiwezekani nimnulie ke usafiri wakati mimi sina!
 
Nimesoma na wasukuma advance na chuo lakini sijaona tabia kama ulizosema hapo,nilizoea kuwaona na nguo zao special za dukani sana sana yale mashati yenye picha za wachezaji na wanamuziki.
 
Hahahahaaaa!
Wewe msukuma!
...
Kwa waliokwenye ndoa nakubaliana na wewe 100! Bila shaka ktk ndoa sio kuhonga na hela yoyote inayotoka pale ni kwa manufaa ya ndoa yao ie joint benefit!
...
Kwa wasiooa!
Ivi utaniambia hiyo mifano ya matumizi mabovu ya hela (refer thired) haujawahi kukutana nayo?
Au wewe kama wewe haujawai kufanya ivyo?

mimi ni msukuma ninamchumba wangu nampenda sana sijawahi kuhonga unakokuzungumzia wewe lakini ninavyomhendo huwezi kumwambia kitu nakuniacha hatamani naamni hata kwenye ndoa atafurahia sana lakini kizuri zaid hata yeye anapokuwa na chansi hunipa hata zawadi na kunifanyia mambo kadhaa kwa pesa yake ndiyo maana dhana yako naipinga.
Lakini kaa ukijua kuwa katika mapenzi pesa itawasaidia kula,kujenga nyumba,kununua gari na kupata mahitaji mengine ila unapogusa penzi sahau habari ya pesa penzi ni taluma pia ni sanaa jinsi upendavyo acha mkuu kunaraha yake ukimpenda mpenzi wako vilivyo.
 
Umefanya random sampling au simple study survey?
Questionnaire zako wakati unafanya hii tafiti uliwahoji wasukuma wangapi?

Yap! Good question!
...
1 expirience! I have many sukuma friends!
.
2 nimeona hapa MMU wakisiwa kuhonga! Na wengine wakijisifu wenyewe!
.
3 questionare kwa ke! Ambao sio wasukuma but wamedate na me wa kisukuma!
...
Je hiyo haitoshi kuproof?
 
Nitake radhi mwenzio! Lol!
Nilishadate na X wa msukuma! Pia ninamarafiki wa kisukuma!

kwaninini unawasemea ke kama hujawahi kuhongwa huwezi kulisemea sana kwa sababu huna ushahidi wa moja kwa moja kama ungekuwa ke ningekuunga mkono laini kama wewe me unajuaje kama wanahonga sana aaaaaaaaa bana taratibu tutakutilia mashaka.
 
kuhonga nisehemu ndogo sana katika mapenzi jiulize kwa nini hata wanawake waliokwenye ndoa ambao wameolewa na wasukuma wanafurahia ndoa zao,je kwenye ndoa napo kunakuhonga?
Nadhani kikubwa hapa ni matunzo kwa ujumla na namna ya kurun mapenzi matunzo na kumheshimu mke hicho wasukuma wanacho ukichanganya na utalamu wa kitandani wasukuma wanakuwa mbele.

...nasikitika tunaruhusiwa ku-like mara moja tu!
 
kwanza weka bayana wewe ni mwanamke au mwanaume?
kama ni mwanamke tafuta msukuma halafu uje utoe majibu kitandani wapoje yani wanaume wa kisukuma ni noma kitandani kama umeolewa usijalibu utamwacha mumeo kweli nakwambia.

Mwadela bhabha......
 
Sasa kama wanafanya hayo kwa hiyari yao kuna tatizo gani.
Sasa unapo muita mtu zombie yeye aoni kama ni zombie unafikiri itamsumbua?
 
Hihihihihiii!
Habari zenyu wanaMMU?
...
Imekua issue ya kawaida sana kukuta wadada wengi wakiwasifia wanaume wakisukuma katika suala zima la mapenzi!
Hata humu MMU kumekuwa na thired nyingi tu za kuwasifia Wasukuma!
...
Sifa yenyewe sasa!
Eti Wasukuma wanajua kuhendo!
Kigezo kilichotumika ni uhodari wao wa KUHONGA!
Yani hawa jamaa wanahonga sana, sana, sana! Afu eti hata ukimzingua hajiui wala haui ke wake licha ya garama alizotoa! Kwa hili nawapongeza!
Uzombie wenu ni kulazimisha kumridhisha mschana hada mukiingia hasara!
.
Unakuta Msukuma anaishi nyumba ya kupanga hata chumba chake hakiko fullu mafenicha lakini atakipamba kwa garama zote chumba cha mwanamke wake!
.
Unakuta hana usafiri lakini anamnunulia gari ke ambaye hata hana future nae!
.
Unaweza kukuta katika walet yake kuna laki mbili na elfu sitini (260,000/= Tsh) but anahonga laki mbili anabaki na 60 elfu!
.
Wengine ni wanafunzi wa vyuo, tena sio boom bust, ni boom savivor! But laki 3 anaihonga kwa mkupuo mmoja!
Afu anaanza kukopa!
.
Sometimes akiwa na appointment na ke wake na hana hela, atafanya njia YEYOTE ili akahonge!
..
Afu wanapenda kujipamba ili wapendwe!
Kwa Msukuma (me) kuweka nyele dawa ie wave, soft free and others ni kawaida sana!
Kwa kweli nawahurumia sana!
.
Labda niwaulize, PILIKA ZOTE HIZO ILI MPATE MBUNYE TU au kuna lingine???
...
Imekua shida sana kuishi/kudate na msichana aliedate msukuma!
...
Mnajiona wajanja kumbe Mnahonga wenzenu tunatumia! Which means hata mhonge vipi bado mtasafa kama sisi katika kutafuta penzi la kweli!
...
My take:
hongeni kwa kiasi na kwa mujibu wa vipato vyenu! Msijione mnasifiwa, HIZO NI SIEA ZA KIJINGA!

Ila ulifanya research kwa uhakika kweli?,au ulisimuliwa tu story za kutunga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom