Wanaume wa KISUKUMA muache UZOMBIE! Huo sio ujanja kabisaa!

Nakubaliana na wewe kwa asilimia mia! Due to the fact that: there no general rule without exceptions!
But wengi wao wanahonga kupitiliza!
...
Nalog off! Nitarudi badae!

mimi ni msukuma ninamchumba wangu nampenda sana sijawahi kuhonga unakokuzungumzia wewe lakini ninavyomhendo huwezi kumwambia kitu nakuniacha hatamani naamni hata kwenye ndoa atafurahia sana lakini kizuri zaid hata yeye anapokuwa na chansi hunipa hata zawadi na kunifanyia mambo kadhaa kwa pesa yake ndiyo maana dhana yako naipinga.
Lakini kaa ukijua kuwa katika mapenzi pesa itawasaidia kula,kujenga nyumba,kununua gari na kupata mahitaji mengine ila unapogusa penzi sahau habari ya pesa penzi ni taluma pia ni sanaa jinsi upendavyo acha mkuu kunaraha yake ukimpenda mpenzi wako vilivyo.
 
Mleta maada naona umeanzisha thread kwa hasira ya kuzidiwa kete na NGOSHA.. pole sana! Jitume, tafuta hela, Kula vyakula vya nguvu ili performance iwe banda kitandani.. otherwise tutakutimulia vumbi tu.
Maana sijaona msingi wa malalamiko yako zaidi ya kufanyia kazi rumours za vijiweni na kuja na matusi eti Mazombie!!! Zero kabisa..
 
Kama ni mazombie yapo kila kabila.

Waacheni kina ngosha wapendwe.....usiwafananishe na kina nahii wavaa misuli, kazi kukata viuno ngomani wakati mifuko imetoboka na kazi hawajui......saa ngapi watajua kuhendo??? Boo!!!
 
Sasa kama wanafanya hayo kwa hiyari yao kuna tatizo gani.
Sasa unapo muita mtu zombie yeye aoni kama ni zombie unafikiri itamsumbua?

Haitowasumbua!
But ujumbe umefika na kwa waelewa watanielewa nini namaanisha!
 
Hihihihihiii!
Habari zenyu wanaMMU?
...
Imekua issue ya kawaida sana kukuta wadada wengi wakiwasifia wanaume wakisukuma katika suala zima la mapenzi!
Hata humu MMU kumekuwa na thired nyingi tu za kuwasifia Wasukuma!
...
Sifa yenyewe sasa!
Eti Wasukuma wanajua kuhendo!
Kigezo kilichotumika ni uhodari wao wa KUHONGA!
Yani hawa jamaa wanahonga sana, sana, sana! Afu eti hata ukimzingua hajiui wala haui ke wake licha ya garama alizotoa! Kwa hili nawapongeza!
Uzombie wenu ni kulazimisha kumridhisha mschana hada mukiingia hasara!
.
Unakuta Msukuma anaishi nyumba ya kupanga hata chumba chake hakiko fullu mafenicha lakini atakipamba kwa garama zote chumba cha mwanamke wake!
.
Unakuta hana usafiri lakini anamnunulia gari ke ambaye hata hana future nae!
.
Unaweza kukuta katika walet yake kuna laki mbili na elfu sitini (260,000/= Tsh) but anahonga laki mbili anabaki na 60 elfu!
.
Wengine ni wanafunzi wa vyuo, tena sio boom bust, ni boom savivor! But laki 3 anaihonga kwa mkupuo mmoja!
Afu anaanza kukopa!
.
Sometimes akiwa na appointment na ke wake na hana hela, atafanya njia YEYOTE ili akahonge!
..
Afu wanapenda kujipamba ili wapendwe!
Kwa Msukuma (me) kuweka nyele dawa ie wave, soft free and others ni kawaida sana!
Kwa kweli nawahurumia sana!
.
Labda niwaulize, PILIKA ZOTE HIZO ILI MPATE MBUNYE TU au kuna lingine???
...
Imekua shida sana kuishi/kudate na msichana aliedate msukuma!
...
Mnajiona wajanja kumbe Mnahonga wenzenu tunatumia! Which means hata mhonge vipi bado mtasafa kama sisi katika kutafuta penzi la kweli!
...
My take:
hongeni kwa kiasi na kwa mujibu wa vipato vyenu! Msijione mnasifiwa, HIZO NI SIEA ZA KIJINGA!
Nimeguswa....!.
 
Kama ni mazombie yapo kila kabila.

Waacheni kina ngosha wapendwe.....usiwafananishe na kina nahii wavaa misuli, kazi kukata viuno ngomani wakati mifuko imetoboka na kazi hawajui......saa ngapi watajua kuhendo??? Boo!!!

Uwiiiiiiiiiiiiiiii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom