Wanaume wa kiluguru tunadharaulika sana

Wanaume wa kiluguru tunadharaulika sana

Dah...ngoja huu uzi unipite😀😀😀 ...jamani muwache kuwadharau waluguru wa milimani, Moro
 
mbona mimi ni mluguru '" lakini sio mfupi '. Mungu kanipa urefu wa kutosha tu "...

Waluguru Oyeee
 
Back
Top Bottom