illuh
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 1,254
- 700
Jamani jamani vijana wa leo badilikeni, kuleni vyakula vya kujenga afya acheni michipsi ya gengeni, acheni kula bugger.
Mwanaume unatakiwa kula mboga mboga, ugali, Dagaa, samaki, maharage, matunda ili mjenge afya zenu.
Kula ugali au vyakula vya kuchemsha si ushamba au umasikini jamani ni afya.
Wanaume vijana wa leo asilimia kubwa nguvu hawana kabisaa akipanda sekunde kashashuka.
Mtaibiwa wake na girlfriend zenu hakiyanani.