Wanaume wa kikristo wanaongoza kwa michepuko!

Wanaume wa kikristo wanaongoza kwa michepuko!

Status
Not open for further replies.

zainaby

Senior Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
181
Reaction score
243
Ipi heri kuoa wake wengi wanaojulikana au kuwa na michepuko kisa dini inataka uoe mke mmoja?

Wanaume wa kikristo mnatudanganya mmeao mke mmoja lkn kumbe mna wake wa siri zaid ya 20!

Heri mje huku kwetu unaoa mpaka wake wa nne kwa raha zako!
 
Pua na macho yako makali kiasi gani!! Unanusa wakristu tu, tena waliooa? You've got some nostrils and big eyes, boss! Kuna kitu unataka kutuasa waume wa watu ila approach yako ni kama mkoloni anavamia kijiji! Senkyu zainaby
 
Hao wengine mochepuko iimehalalishwa ndio maana huioni.
 
Nimechoka kabisa kwa uzi wako. Yaani hao wasio na ruhusa kuoa zaidi ya 1 wana mahawara 20. Sasa wewe ukadanganywa kuwa huyo wa kwako kwa kuwa amewalimbikizeni 4 mnaokaa nyumba moja umeona hana kiu ya kuongeza 16 ka mkristo?? Uzinzi hauondolewi kwa wingi wa walio halal. Tunawajua wa hiyo dini yako wenye mitala utadhani kijogoo.
 
Vipi mtoa mada umegegedwa na mkristo aliyekuahidi ndoa alafu akaingia amazon ghafla bin vuu
Pole sana unaonekana ni 30+ cubic
 
Ni kweli hongereni nyie huko kwenu hyo dini mnayogeuza michepuko mabibi harusi
 
Walioa wake zaidi ya mmoja michepuko yao ni nadra ukilinganisha na wa mke mmoja. Ukihalalisha ni vizuri kwani mmoja akiwa na tatizo unaenda kwa mwingine wa halali. Mkristu unaenda kwa kuibia, ni uuuuuungwana!!
 
Kwani ukioa wengi utamu mwingine utaupataje

Kila wiki utamu mpya ndo mpango

Kila siku milango ileile khaaaaaa.....sukari upate sehem mbalimbali

Leo hivi, kuesho vile, mara mvutiko au utelezi mara pakavuu mara hadaki ilimradi utamu tofauti
 
Wenye wake wanne hao ni halali. Ila wanayo pia michepuko.
Usimsemee mwanaume akili zao wanazijua wenyewe.
Asante kwa kututetea mamiii. Sisi tunajisahau mno. Mtusamehe tuu
 
Kwani ukioa wengi utamu mwingine utaupataje

Kila wiki utamu mpya ndo mpango

Kila siku milango ileile khaaaaaa.....sukari upate sehem mbalimbali

Leo hivi, kuesho vile, mara mvutiko au utelezi mara pakavuu mara hadaki ilimradi utamu tofauti
Mh mh nakutafuta sana ujue
 
KUOA WAKE WA4 SYO SULUHSHO

KING MSWATI ANA WAKE WENG NA BDO ANACHEPUKA NA ANAENDELEA KUOA KILA MWAKA.

SEMBUSE WA4
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom