- Thread starter
- #41
mimi sikioni,now tell me ukionacho cha kufanyaBibilia inasisitiza tuwashauri wenye hekima maana watafurahi na kutilia maanani.....lakini inatuonya tusiwashauri wasio na hekima maana wanaweza kututukana na kudharaulika......sio tafsiri rasmi........WEWE HUONI NINI CHA KUFANYA HAPO, AU UNAISHI SAYARI NYINGINE MWENZETU!!!