Wanaume wa kihutu

Wanaume wa kihutu

Nivea umemaliza......hasa pale kuhusu vidumu...halafu umemalizia kwa kusema ......nenda kule fb -jf we give concrete solution hutaki unaacha!!!!!!
sio kila ushauri unaoutoa basi mtu aukubali,for me kuachana na mme wangu ni never,naweza nikaabscond unyumba,au tukawa tunatumia condom ili kujikinga na magonjwa.ila DIVORCE IS NEVER UN OPTION,tukubali kutokukubaliana sio mtu anakataa kufuata ushauri wako unamwambia aende facebook that is rubish
 
Last edited by a moderator:

Haya mama nimekupenda bure.....!!!!!
 
Back
Top Bottom