Wanaume wa kiafrika waishio Asia, hu-date na asian girls wa low quality..

okoyoko

JF-Expert Member
Jun 15, 2014
2,664
3,631
Hello guys

For the past years nimekuwa nikizunguka katika nchi tofauti za bara la asia, personally mimi sio fan wa asian girls, so sijaelewa why waafrika wengi wakija asia moja ya fantasy yao ni ku-date na wadada wa ki-asia.

Mimi nimekaa na wa-asia na ninawafaham vizur, most of them wana sort of racist ideologies, most asian societies wanaoana wao kwa wao: The only girls ambao wana give attention kwa waafrika ni wale ambao

1)They are ugly (according to asian standards); Ugly girls ni out-going hlf wana chat freely na wanaume kwenye social medias like facebook, instagram etc. Asian girls ambao ni wazuri wao huweka account zao kuwa private na kama hawakujui it means hawakujibu sms zako, in real life ukiongea nao watajifanya wapo shy, hata in public hawatoambatana na wewe.

2) Wadada ambao kwao ni maskini sana: Hawa huolewa na waafrika, sio out of love, wanaoana na waafrika ili waondokane na umaskini, maybe mwafrika anaemuoa huyo mdada ana pesa nyingi or a stable job, so mdada huamua tu akubali.

3)Wadada ambao wanajiuza: Hapa ni kwamba wanaume wengine wa kiafrika wanapiga picha na malaya wa ki-asia hlf huwatumia picha marafiki zao walio afrika, ili kujionesha kuwa na wao wana mademu wa ki-asia kumbe wamepiga picha na malaya.

  • Asians wana-prefer ngozi nyeupe (as their standard of beauty), so wengi wakiona mwafrika they think he/she unattractive, so ewe mkaka ukiona demu wa ki-asia mwenye ngozi nyeusi anakushobokea, mara nyingi ni kuwa sio kwamba anakupenda sana bali tu hana options nyingine, it means angekuwa mweupe hlf mzuri wala asingekuwa na time na wewe, so nyie wanaume mnaopanga kwenda asia inabidi mzisahau dushe zenu kwa kipindi chote mtakachokua huko

NB: Kwenye every general rule kuna exception, so maybe there are other african guys ambao wanapendwa kweli na wadada wazuri wa ki-asia, lakini those cases are veeery rare.

AND THAT IS THE REALITY!!!
 
ishapoteza mvuto changia nenda zako huyo jose hayupo kwa kazi hiyo


[HASHTAG]#rubii[/HASHTAG], inabidi nipunguze idadi ya ng'ombe Kama ndiyo hivi.

Teeeeh teeh Haaa haaa Haaa haaa Haaa.
 
Hili swala halijaanza leo,
lilianza tangu enzi ya wahenga,
ndomana kukazuka makundi mawili ya wahenga wakibishana wengine wanasema ''utamaliza bucha nyama ni ileile''
huku wahenga wabishi wakawajibu kwamba ''Nyama ni ileile ila mapishi ni tofauti''...
Ni kizungumkuti aisee
 
Mhenga mmoja aliwahi kunena: Beauty is in the eyes of the beholder... Ni upofu wa akili kudhani kuwa unachokiona kizuri wewe basi ni kizuri kwa wote....Na kumbuka pamoja na kuwepo kwa different social status, lakini anatomically wanawake wanashabihiana kimaumbile, despite their difference in economic strength or social status. Asikudanganye mtu raha ya kugegeda ni ile ile...na ina ukolezo Zaidi if you are in full control!!!
 
Sio wa asia tu mchi za wazungu ni wachache wanaoolewa na wazungu kwa love.

Ukiona mzungu kaolewa na mwafrika basi kuna mawili,

1. Viibonge
2. Sura mbaya
3. Mzee
4. Uchumi mbovu.

Wachache sana wanakuwa na mapenzi na waafrika.
 
Back
Top Bottom