kichwaones
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 399
- 49
lazima uwe umeshupaa shupaa hivi ndio wanataka kukuoa....ukiwa umelegea legea ngozi nyororo unanukia vizuri ndoa utaisikia kwa jirani,yanataka mtu wa kuwafulia,kuwanyooshea nguo na kuwa pikia :der::der::der::der::der::der::happy:
Wanaume wa kiafrika wako abusive na controlling wanajulikana dunia nzima.inaitaji moyo kuwa na mwanaume wa kuafrika .Very hard looking I can't stand them
he he he, usiniambie Nataly ame-recruit new follower?
DADA WE MVIVU INAONESHA ATA MAvuzi na vikwapa vyako unyoagi
Wananiacha hoi wanapotaka kuoa hawana nyumba .huna nyumba Huna pesa uwanja wa ndoa haukuhusu
Wanawake mna shida sana kwa kweli yaani kwenu nyie hamna jema hata siku moja! Sasa wewe una uhakika gani ni wanaume wa kiafrika wenye tabia hiyo uliyoitaja tu? Ushaenda kwa wahindi, wachina, wazungu, America n.k ndo ukaja kugundua kuwa ni waafrika pekee? Nani kawambia mtu mwenye ngozi nyororo anayenukia hafui, wala kunyoosha nguo,wala kupika? Dadangu let me tell you hayo ni majukumu ambayo hayakwepeki kama unataka kupendeza na kunukia lazima utanyoosha nguo, kama unapenda kuwa mwenye afya lazima utapika, hapa nafikiri hukujaribu kutumia ubongo wako kufikiri bali umeongozwa na hasira kuandika hii thread......lazima uwe umeshupaa shupaa hivi ndio wanataka kukuoa....ukiwa umelegea legea ngozi nyororo unanukia vizuri ndoa utaisikia kwa jirani,yanataka mtu wa kuwafulia,kuwanyooshea nguo na kuwa pikia :der::der::der::der::der::der::happy:
lazima uwe umeshupaa shupaa hivi ndio wanataka kukuoa....ukiwa umelegea legea ngozi nyororo unanukia vizuri ndoa utaisikia kwa jirani,yanataka mtu wa kuwafulia,kuwanyooshea nguo na kuwa pikia :der::der::der::der::der::der::happy:
Wananiacha hoi wanapotaka kuoa hawana nyumba .huna nyumba Huna pesa uwanja wa ndoa haukuhusu
lazima uwe umeshupaa shupaa hivi ndio wanataka kukuoa....ukiwa umelegea legea ngozi nyororo unanukia vizuri ndoa utaisikia kwa jirani,yanataka mtu wa kuwafulia,kuwanyooshea nguo na kuwa pikia :der::der::der::der::der::der::happy:
mwanzo umesema utushike wapi ili ujue tunaweza haya tushike hukju mradi usilie tu utakapoanza kuwaga mithili mtu kafungulia koki ya DAWASCOlazima uwe umeshupaa shupaa hivi ndio wanataka kukuoa....ukiwa umelegea legea ngozi nyororo unanukia vizuri ndoa utaisikia kwa jirani,yanataka mtu wa kuwafulia,kuwanyooshea nguo na kuwa pikia :der::der::der::der::der::der::happy:
hebu mi nimtandikie kitanda mwanaume wangu wa kiafrika!nyie bishaneni wee!mkishamallioza wanawake wakiafrika tutakuwa tushapewa haki zetu za kimsingi na bonus juu!nyie wakti huo mtakimbilia kwenye mito!
USIKU MWEMA KWA WANAWAKE NA WANAUME WA KIAFRIKA WOOTE!
na anayejivunia nafasi yake ya kiafrika!
Wananiacha hoi wanapotaka kuoa hawana nyumba .huna nyumba Huna pesa uwanja wa ndoa haukuhusu
Wakitoka hapo wanakula kona kutafuta kitu "Mpingo". Chezeiya bantu wewe!.hebu mi nimtandikie kitanda mwanaume wangu wa kiafrika!nyie bishaneni wee!mkishamallioza wanawake wakiafrika tutakuwa tushapewa haki zetu za kimsingi na bonus juu!nyie wakti huo mtakimbilia kwenye mito!
USIKU MWEMA KWA WANAWAKE NA WANAUME WA KIAFRIKA WOOTE!
na anayejivunia nafasi yake ya kiafrika!
mhm...sawa bwana nyie kuweni na wadhungu...its a personal choice so no worries