wanaume wa kiafrika bana....

wanaume wa kiafrika bana....

imaney

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
1,014
Reaction score
314
lazima uwe umeshupaa shupaa hivi ndio wanataka kukuoa....ukiwa umelegea legea ngozi nyororo unanukia vizuri ndoa utaisikia kwa jirani,yanataka mtu wa kuwafulia,kuwanyooshea nguo na kuwa pikia :der::der::der::der::der::der::happy:
 
waoe mahausigeli simpo.....

Sina uhakika kama utafiti uliufanya Africa yote, mbona mie najifulia nguo mpaka ..............
 
ndoa imeingia mitini?
King Julian King'asti, njoo uokoe roho inayotaka kuacha mwili hapa.
 
Last edited by a moderator:
Usitoe hukumu ya jumla kwa wanaume wa kiafrika utadhani unatujua wote. Huu ni uvivu wa kufikiri. Sema hao wachache unaowajua lakini siyo sote. Shika adabu na adabu ikushike mwanangu Imaney.
 
pole imaney huyo uliyekutana nae ni tabia zake mwenyewe si wote bana,
mie wa kwangu pamoja na hizi shida za maiji yeye hataki hata nibebe madumu maana anajua ntakomaa halafu atakua hapati ladha fulani hiviiii.....
Utapata tu wa kukufaa usije kukimbilia uarabuni ukenda kufanywa Mtwana bureeeeeeee
 
Ni maumivu tu kuoa anayejipenda zaidi nafsi yake kuliko wengine. Unaweza kuwa mchapakazi na mrembo vilevile
 
lazima uwe umeshupaa shupaa hivi ndio wanataka kukuoa....ukiwa umelegea legea ngozi nyororo unanukia vizuri ndoa utaisikia kwa jirani,yanataka mtu wa kuwafulia,kuwanyooshea nguo na kuwa pikia :der::der::der::der::der::der::happy:

Ushasema mwanaume wa kiafrika we ulitaka awe na tabia za kizungu wkt ni mwafrika?
 
lazima uwe umeshupaa shupaa hivi ndio wanataka kukuoa....ukiwa umelegea legea ngozi nyororo unanukia vizuri ndoa utaisikia kwa jirani,yanataka mtu wa kuwafulia,kuwanyooshea nguo na kuwa pikia :der::der::der::der::der::der::happy:
Wananiacha hoi wanapotaka kuoa hawana nyumba .huna nyumba Huna pesa uwanja wa ndoa haukuhusu
 
Kaolewe na mzungu uone kero yake.....kweni kuwa nyororo ndio inamaanisha unashindwa kufanya majukumu yako kama mke? mie sioni tatizo lipo wapi....gadgets kibao siku hizi washing mashine, rice cooker, dishwasher sii ununue tuu na bwana wa kiafrika bado atakupenda tuu....usilete sababu ambazo hazina msingi
 
kumfulia mume nguo,kumpikia etc ni majukumu ya mke kwa mujibu wa NANI....katiba ipi?
 
kwa mujibu wa mfumo dume...sasa kama wewe unataka kuupinga usipige kelele kuhusu kuolewa. tulizana ukiwa single....the choice u make the price u pay.
 
Dogo tulia acha kupayuka, tulioka kwenye ndoa tunajua raha tamu na chungu zote, kama umeliwa na kutoswa usitupigie kelele bana!! mwisho hata kuzaa utasema wanaume wa kiafrica nao wazae. kuolewa ni wajibu, na kutumika ni majukumu so complain not dude, jamaa kachovya na ndo kaisha sepa hivyo, jipange upya kama ulifikiri unaingia kwenye ndoa kudeka, na kila siku kula chips kuku baa na kuitana hny
ndoa ni kitu tofauti mamie, si kupaka rangi kucha tu, na wala si kupiga powder na pamba, kuna kubadili pampas watoto na kunyonyesha, kuna kupika na kuosha vyombo, kuna kudeki chumba na kutandika kitanda, so usiwaze unyunyu tu, hizo ni nyakati za uchumba
heiyaaaaaaaaaaaa
 
noo nitaolewa,sema sio na muafrica,cha kushangaza huu mfumo dume ni kwa waafrica,yaani nikufulie nikunyooshee na mwanangu atamfulia nani nyoo...get lost.:majani7:
 
hahahaha sawa bwana uolewe tuu na hao ambao sio waafrika...its a predilection not prejudice!!!
 
Dogo tulia acha kupayuka, tulioka kwenye ndoa tunajua raha tamu na chungu zote, kama umeliwa na kutoswa usitupigie kelele bana!! mwisho hata kuzaa utasema wanaume wa kiafrica nao wazae. kuolewa ni wajibu, na kutumika ni majukumu so complain not dude, jamaa kachovya na ndo kaisha sepa hivyo, jipange upya kama ulifikiri unaingia kwenye ndoa kudeka, na kila siku kula chips kuku baa na kuitana hny
ndoa ni kitu tofauti mamie, si kupaka rangi kucha tu, na wala si kupiga powder na pamba, kuna kubadili pampas watoto na kunyonyesha, kuna kupika na kuosha vyombo, kuna kudeki chumba na kutandika kitanda, so usiwaze unyunyu tu, hizo ni nyakati za uchumba
heiyaaaaaaaaaaaa

good kama umekaa kny ndoa,sema namuonea huruma mkeo.....sikatai kuna majukumu....ila hili la kusema ni kazi za mama/mwanamke ndilo nalolipinga.....majukumu yawe shared babu tusizeeshane....nachoka mapema kwa kunitumikisha halafu unaenda kutafuta nyumba ndogo nyooo:confused2:
 
Imaney,
shaka ondoa hukumu yako nijaziba ila ni sahihi kulingana na jamii iliyo kukuza huku kwetu hatuko hivyo,
kumbuka mwiba,sindano,pini,mbigiri na msumari VYOTE VINA NCHA HILA NITOFAUTIIII ndivyo men tulivyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom