Imebidi nisome herufi moja moja kwanza 😂😂😂😂
Sema kweli....??😲😲Hakika 😁
Alafu at that time alikuwaga ni Admin Kuna siku tulikutana nakapiga Chabo kwenye simu yake nikaona kumbe naye alikuwaga ni Mod
😂😂😂😂 kwa maelezo yake alisema ana 35😆😆
Kwani bado kaumri kako chini sana???🤔😂Asije tu akasikia!😁
Yaani we ni Mdaku aka Mkuda 🤣🤣🤣Imebidi nisome herufi moja moja kwanza 😂😂😂😂
🤔 Nani huyo ?😂😂😂😂 kwa maelezo yake alisema ana 35
Sijaelewa hapa 😁Hmmm...hapo basi tena. Sikuvunji moyo ila punguza matumaini!😁😁
😂😂😂😂 da mau🤔 Nani huyo ?
😂😂😂😂 mbona unaongea kwa kuogopa sasaHmmm...hapo basi tena. Sikuvunji moyo ila punguza matumaini!😁😁
AstaghfirullahHuyo umbea anaupenda ila anajifanya mlokole 😂😂😂😂
Ame log off kwa Sasa 🤣🤣🤣🤣Naogopa da 🌼 asije akasema na mimi simpendi.😶🌫️
😂😂😂😂 Da mau tatizo lake bado hajajua wanaompenda na wasiompendaNaogopa da 🌼 asije akasema na mimi simpendi.😶🌫️
Mwambieni aanze kujipenda kwanza Mwenyewe na wengine watampenda. Sasa Yeye Mwenyewe hajiamini, hajipendi na anajidharau ni Nani atakayempenda?😂😂😂😂 Da mau tatizo lake bado hajajua wanaompenda na wasiompenda
Utajua haujui We subiri 🤣🤣🤣