Wanaume wa JF: Who is hot, who is not?

Dr Lizzy

Platinum Member
May 25, 2009
30,808
59,317
Ni m(wa)kaka)/m(wa)baba gani hapa JF kutokana na namna wanavyochangia mambo, interect na watu wengine, mbwembwe zao unadhani wanavutia kwa sura (ya kiume lakini. . .FORGET about pretty boys) na mwili unaoeleweka badala ya lijitambi lisilobebeka hata kwa toroli?

Kwa mimi. . . Lawyer klorokwini niliwahi kudhani analipa ila kuja kutahamaki. . . ni mmoja wa vibabu vya humu alafu kitambi tangu utotoni mpaka leo anabeba. Kwahiyo siku hizi naogopa 'kudhani'. . . sitaki kubaki mdomo wazi siku nikukubali kidate kwa PM.
 
Last edited by a moderator:

Khaaaa! yaani ulipoona nakaribia kupata mchumba ndio umeona unilipue? Mungu atanilipia bana
 
Hahahaha. . .Kloro bana ndo vizuri sasa hivi vidada vikijigonga kwako ujue vinakupenda kweli na sio vinakufananisha na kina naniiii!!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha. . .Kloro bana ndo vizuri sasa hivi vidada vikijigonga kwako ujue vinakupenda kweli na sio vinakufananisha na kina naniiii!!
heheh Ndo vizuri wakati tangia umeweka hii sredi sjapokea hata PM moja na si kawaida yangu . Ushaninyonga lizzy
 
Hahahaha. . .nakuunga mkono kwa baadhi yao aisee ila Cookie nadhani ni mdada (unless your into woman to woman action) basi tafuta wakumreplace.

Uwwwwww alafu umemtaja anaemdatisha Mwali . . . .na fulani pia!!

Cookie ni mdada? mbona sasa nikiona post yake mwili wote unasisimuka? Kaaaah.

Niambie wa Mwali nihesabu toka wa ngapi katika orodha? au nipe hints, nisije geuzwa kibudu! teh teh
 
Ndo sasa uniambie. . .do you like girls aswell!?!!!

Hehehe sitaki kusutwa mie. ,ngoja aje mwenyewe. Alafu kuna mwingine hapo nae inabidi umfute fasta. . .ukifantasaizi kuhusu yeye tena unapata mimba!!
 
Back
Top Bottom