Mkuu naona tatizo lipo kwako. Perception yako inaenda tofauti na malengo ya kuanzisha majina kama hayo. Wewe ndio unahisi ivyo ila wengine tunaona ni majina ya kawaida na hayapeleki kuonekana kama takatakaSijataka tutumie jina halisi, kwamaana hata maadili yetu yanatubana, ninachoshauri hayo majina mbadala yawe ya staha ili kulinda hadhi na heshima ya kituchenyewe, si sawa kukitungia jina kitu muhimu kikaonekana kama takataka.
Hahahaha!! Huyu hasara mkuu..Kuita viungo vya uzazi majina ya ajabu ajabu siyo uungwana...
Ila ulichoandika hapa kama ndiyo ulivyo hivyo, unasikitisha sana...
Cc: mahondaw
Hahah!! Lina shida gani?Aisee bora yote, yaani nachukia wanaoita mbunye
kiboksi manyoya
Mkuu usichukie ni sehemu ya maisha tuAisee bora yote, yaani nachukia wanaoita mbunye
unataka kusemaje Mkuu iyo kitu ni kama pesa tu unaita jina utakalo wewe ila ititfaki izingatiweOooh! Samahani mkuu, hivi mwanaume wa dar maana yake ni "K"!?
Kama huoni tatizo basi unatatizo mkuu.Hahah!! Lina shida gani?
Mawazo yako nayaheshimu, mkuuunataka kusemaje Mkuu iyo kitu ni kama pesa tu unaita jina utakalo wewe ila ititfaki izingatiwe
hapana, niudhalilishaji wa makusudi.Mkuu usichukie ni sehemu ya maisha tu
Nyangumi...Papa
Amlipae mpiga zumari ndie anaechagua wimbo. Si matakwa yao , wanalazimika tu kuyatumia.hapa tuwaulize wanawake wanakwama wapi kujiatufia majina ya papuchi zao
Asie na haya(aibu)hajui vibaya. pole sana mkuu.Hahahaha!! Huyu hasara mkuu..
labda, maana kila MTU na mtazamo wake.Mkuu naona tatizo lipo kwako. Perception yako inaenda tofauti na malengo ya kuanzisha majina kama hayo. Wewe ndio unahisi ivyo ila wengine tunaona ni majina ya kawaida na hayapeleki kuonekana kama takataka
K, tunda,asali,nyeti,halua,,utamu,kitumbua na mengine mengi yakuvutia,na kutuongezea ham ya kukila.Wenye bunye zao wametulia wala hawakereki maana wanajua ni tafsida tu kwasababu huwezi kutamka kile kiungo moja kwa moja
Hebu wewe pendekeza tukiiteje tofauti na hayo majina ambayo huyapendi?
K, tunda,asali,nyeti,halua,,utamu,kitumbua na mengine mengi yakuvutia,na kutuongezea ham ya kukila.Wenye bunye zao wametulia wala hawakereki maana wanajua ni tafsida tu kwasababu huwezi kutamka kile kiungo moja kwa moja
Hebu wewe pendekeza tukiiteje tofauti na hayo majina ambayo huyapendi?
Nimuuliza mkuu maana mimi sijui maana ya mbunye..Kama huoni tatizo basi unatatizo mkuu.