Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,985
- 189,557
Mkuu Naona Unasumbuliwa Huko Kupata Mbunye
"mbunye" kuna heshima kweli hapo mkuu!? hata kama ni kweli inasura mbaya, bado tunalazimika kuitunzia heshima kutokana na umuhimu wake.Hayo majina yanafanya papuchi iwe tamu zaidi
Hakika na sihitajio langu, ila kwa K, tunda, ama utamu n.k nikitu ambacho siwezi kukaa mbali nacho na ndio sababu nachukizwa sana na udhalilishai wako.Mkuu Naona Unasumbuliwa Huko Kupata Mbunye
Mkuu, inakera sana kwa yeyote yule anaejua thamani na umuhimu wa K.Aisee bora yote, yaani nachukia wanaoita mbunye
Angalau papuchi, lakini mbunye, eee kaburi!? sina haja nalo.Wewe kula papuchi acha maneno mengi. Hata mkiita kaburi bado mtatumbukia tu mzikwe. Muheshimu mlikotoka.
Humuhumu Jf, huoni wenyewe wanavyolitetea!?endelea kufuatilia utaona mengi.eti "kiboksi manyoya",we jamaa umetoa wapi hili jina?
mkuu, si kila MTU aliyomo humu ana akili ya kumuongoza wapi alitumie, wengine wanaokota tu, na popote wanatupia.Shida sio kiungo.. shida ni mwenye hicho kiungo.. kuna Malaya na Mwanamke
Malaya tutaita Mbunye na majina mengine mabaya kuliko hilo.. ila Mwanamke tutaita uke kama bailojia ilivyotufundisha darasa la nne C
Mkuu unafukua makaburi, wafiwa wako humu.Basi tuite betri ya morogoro
Naamini IPO siku utapata member wa aina yako, atalala nawe mbele.Basi hayo majina tukuite wewe sasa
Asante mkuu, sasa napata picha, baadhi ya wanawake wa Jf hawajitambui.Usiumize kichwa..
Wewe pitia pitia hata komenti za Mademu wa humu linapokuja suala kama hili utasikia hata wenyewe wanasema ivoivo
mbunye yangu inamaji
papuchi yangu simugawii mtu
K yangu inamiaka bila kuguSwa.
Hizo ni baadhi ya kauli toka kw madem wa humu.
Sasa kama wao wako ivo..wewe unawezaje kuwasemea!!??
Kwa ufupi, Ukiona Demu anataja taja sehem zake za siri bila kujalisha lugha anayoitumia..ujue huyo demu ni Maharage ya Mbeya.
Naamini wapo wenye akili zao hawayatumii, ingawaje pia hawawezi kuwazuia wanayoyatumia wasiyatumie.ayo majina mbona mazuri sana tena wenyewe wanayapenda sana
Nikki wa pili nenda kaandike Twitter humu sio size yakoHabari wakuu? naombeni tujadili hili jambo, binafsi sijajua nikwanini ile sehemu ya mwili wa mwanamke ambayo inatufalia sana tunaiita kwa majina mabaya, yenye kukera na kudhalilisha utu wa mwanamke!? Nashindwa kuelewa pale mwanaume anapotamka, mbunye,ama papuchi, kiboksi manyoya,bwawa na majina mengine mengi ya hovyo kabisa, hivi ni kweli tunashindwa kutambua thamani na umuhimu wa kile kiungo!? hivi ni kweli tunasahau jinsi tunavyojipendekeza, kunyenyekea, kujishusha na hata kutoa Mali zetu za thamani(kuhonga)kwa wanawake ili tuhurumiwe kwa kuachiwa ile sehemu japo kwa muda tuitumie na kufurahisha nyoyo zetu!? ni vipi tunasahahau kwamba kuna wakati tunashindwa hata kula, tunapoteza furaha na amani ndani ya nyoyo zetu, tunakosa usingizi na hata kuchanganyikiwa kiakili kwa sababu tu uliemuomba akupe kakukatalia.!? kwani pale tunapotumia majina mazuri ya kukipamba na kukisifia kama Tunda,utamu,asali, kitumbua tunapata hasara gani!? tubadilikeni wakuu, ile kitu ni Mali yetu, wao wanatutunzia tu kama ambavyo sisi tunatunza tulichonacho kwa ajili yao...
Mbona jombii anaitwa dushe umevunga au mkuyenge ila hutesekii... Lakini ngenya ikiitwa mbunye una mind kwani vepe..? Acha zako papuchenga itabaki kuwa juu....Habari wakuu? naombeni tujadili hili jambo, binafsi sijajua nikwanini ile sehemu ya mwili wa mwanamke ambayo inatufalia sana tunaiita kwa majina mabaya, yenye kukera na kudhalilisha utu wa mwanamke!? Nashindwa kuelewa pale mwanaume anapotamka, mbunye,ama papuchi, kiboksi manyoya,bwawa na majina mengine mengi ya hovyo kabisa, hivi ni kweli tunashindwa kutambua thamani na umuhimu wa kile kiungo!? hivi ni kweli tunasahau jinsi tunavyojipendekeza, kunyenyekea, kujishusha na hata kutoa Mali zetu za thamani(kuhonga)kwa wanawake ili tuhurumiwe kwa kuachiwa ile sehemu japo kwa muda tuitumie na kufurahisha nyoyo zetu!? ni vipi tunasahahau kwamba kuna wakati tunashindwa hata kula, tunapoteza furaha na amani ndani ya nyoyo zetu, tunakosa usingizi na hata kuchanganyikiwa kiakili kwa sababu tu uliemuomba akupe kakukatalia.!? kwani pale tunapotumia majina mazuri ya kukipamba na kukisifia kama Tunda,utamu,asali, kitumbua tunapata hasara gani!? tubadilikeni wakuu, ile kitu ni Mali yetu, wao wanatutunzia tu kama ambavyo sisi tunatunza tulichonacho kwa ajili yao...
KULE ANAANDAMWA KINOMANikki wa pili nenda kaandike Twitter humu sio size yako
Majina ya jombii, mengi niyakibabe, nayayoogopesha, siyamchezo mchezo hata kidogo,...hogo,kisiki cha mpingo,mguu wa mtoto,taruma, na mengine mengi, yote yanalenga kusifia na sikudhalilisha.Mbona jombii anaitwa dushe umevunga au mkuyenge ila hutesekii... Lakini ngenya ikiitwa mbunye una mind kwani vepe..? Acha zako papuchenga itabaki kuwa juu....