Wanaume wa Jf tuwe waungwana

Wanaume wa Jf tuwe waungwana

Siri ya sifuri

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
2,580
Reaction score
2,224
Habari wakuu? naombeni tujadili hili jambo, binafsi sijajua nikwanini ile sehemu ya mwili wa mwanamke ambayo inatufalia sana tunaiita kwa majina mabaya, yenye kukera na kudhalilisha utu wa mwanamke!? Nashindwa kuelewa pale mwanaume anapotamka, mbunye,ama papuchi, kiboksi manyoya,bwawa na majina mengine mengi ya hovyo kabisa, hivi ni kweli tunashindwa kutambua thamani na umuhimu wa kile kiungo!? hivi ni kweli tunasahau jinsi tunavyojipendekeza, kunyenyekea, kujishusha na hata kutoa Mali zetu za thamani(kuhonga)kwa wanawake ili tuhurumiwe kwa kuachiwa ile sehemu japo kwa muda tuitumie na kufurahisha nyoyo zetu!? ni vipi tunasahahau kwamba kuna wakati tunashindwa hata kula, tunapoteza furaha na amani ndani ya nyoyo zetu, tunakosa usingizi na hata kuchanganyikiwa kiakili kwa sababu tu uliemuomba akupe kakukatalia.!? kwani pale tunapotumia majina mazuri ya kukipamba na kukisifia kama Tunda,utamu,asali, kitumbua tunapata hasara gani!? tubadilikeni wakuu, ile kitu ni Mali yetu, wao wanatutunzia tu kama ambavyo sisi tunatunza tulichonacho kwa ajili yao...
 
Mkuu hayo majina kiukweli mi sioni ubaya kuyatumia kwa sababu ni kama tafsida yaani badala ya kusema **** tunatumia hayo maneno. Lakini pia hata wao ni wapenzi wa hayo maneno na wanayatumia vizuri.

Sijui kwa wengine ila mi sioni tatizo na sioni ubaya. Papuchi, kipochi manyoya, tambo tatu, mashavu. N.k
 
Unaona mfano nimeandika neno sahihi la kiswahili lakini Mods wameliwekea manyota. K si mchezo
 
Kwani hayo majina ya ajabu? Mfano neno “Papuch” uajabu wake ni upi?. Halafu muda mwingine ksbb tu ya kukiheshimu kiungo chenyewe,ndio maana wametafuta angalau mbadala wake ili kupunguza makali. Zaidi hata wenyewe wenye nacho hawana shida na hayo mapapuch,vinginevyo mbona wangeandama kitaaaaambo
 
Shida sio kiungo.. shida ni mwenye hicho kiungo.. kuna Malaya na Mwanamke

Malaya tutaita Mbunye na majina mengine mabaya kuliko hilo.. ila Mwanamke tutaita uke kama bailojia ilivyotufundisha darasa la nne C
 
Usiumize kichwa..

Wewe pitia pitia hata komenti za Mademu wa humu linapokuja suala kama hili utasikia hata wenyewe wanasema ivoivo

mbunye yangu inamaji
papuchi yangu simugawii mtu
K yangu inamiaka bila kuguSwa.

Hizo ni baadhi ya kauli toka kw madem wa humu.

Sasa kama wao wako ivo..wewe unawezaje kuwasemea!!??

Kwa ufupi, Ukiona Demu anataja taja sehem zake za siri bila kujalisha lugha anayoitumia..ujue huyo demu ni Maharage ya Mbeya.
 
Mkuu hayo majina kiukweli mi sioni ubaya kuyatumia kwa sababu ni kama tafsida yaani badala ya kusema **** tunatumia hayo maneno. Lakini pia hata wao ni wapenzi wa hayo maneno na wanayatumia vizuri.
Sijui kwa wengine ila mi sioni tatizo na sioni ubaya. Papuchi, kipochi manyoya, tambo tatu, mashavu. N.k
kutumia maneno mbadala sio tatizo, ila yawe yanaendana na heshima na hadhi ya kitu chenyewe. ili thamani ya hiko kitu iendelee kuonekana dhahiri. sawa mkuu.?
 
Unaona mfano nimeandika neno sahihi la kiswahili lakini Mods wameliwekea manyota. K si mchezo
Sijataka tutumie jina halisi, kwamaana hata maadili yetu yanatubana, ninachoshauri hayo majina mbadala yawe ya staha ili kulinda hadhi na heshima ya kituchenyewe, si sawa kukitungia jina kitu muhimu kikaonekana kama takataka.
 
Kwahiyo wewe unataka tuseme "qumer" sio??..
Papuchi ni jina safi tu kwa hicho kiungo..ni tafsida maridhawa kabisa
Hatuwezi kutumia jina lake halisi, maana tutakua tunatukana, kitu ambacho si kizuri. ninachoshauri ni kwamba tunapotafuta mbadala wa jina la hiko kitu tujitahidi liwe linaenda na uhalisia wa kitu chenyewe. tafsida isiwe sababu ya kudhalilisha au kushusha thamani ya kitu chenyewe, hivi kweli mkuu, mbunye inastahili kuwa tafsida ya K!?
 
Back
Top Bottom