Dinnah
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 791
- 1,062
Aaaa tafadhali mwanaume wa jf salamu mchana wote huuMambo
Aaaa tafadhali mwanaume wa jf salamu mchana wote huu
Mzee wa dinner/lunch upo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Napenda tu ID yako[emoji8]Chai hii ya jioni..
Aww😍😍Napenda tu ID yako[emoji8]
Hahaha ... nisamehe babaKunguru wewe[emoji3][emoji3][emoji3]
Ujue mim moyo umeniuma sana kuona mwanangu mke wake anatongozwa
wakati ukuta.
Kimuchiiii🙄🙄
Naam chi- mamy .... upo !? Kweli nime kumiss mpaka na feel homaKimuchiiii[emoji849][emoji849]
Haya basi tetemaa nikuwoneee💃💃
Haha naogopa TMz " ... hawakawi kunitoa font fediHaya basi tetemaa nikuwoneee[emoji126][emoji126]
Mfyuuu😂