Wanaume wa huku muache mapozi

Wewe ni sawa na mgomba uliokatwa ukaangushwa chini ukitegemea utapelekwa kuwa chakula cha ng'ombe,hatimae mafuriko yakaja kuuchukua...kafie mbele huko..Hatudanganyikii na uasherati.
 
Huu utata sasa.itabidi tukutafute ili tuwe na uhakika na haya ayasemayo Black Bat
 
Last edited by a moderator:

kuna uwezekano mkubwa kuwa jamaa alifika eneo la tukio ila hakupendezwa na mwonekano wako akaamua kusepa kimya kimya. tafsiri yako wewe ni kuwa jamaa anamapozi ila yeye ndiye anaeujua ukweli
 
mbona ye analalamika we kimeo?anadai kakufanyia makusudi as hujamvutia!!na akatoa onyo watu kuwa makini na wadada km nyie!!chek post yake ujionee!!
 
Nisamehe bure retired sister,nilifika nikakuchungulia kwa mbali nikaona huvutii kabisa af kuchek mezani ushaagiza madikodiko ya hatari,nikafanya cost benefit analysis kati ya jins ulivyo na bill pale kati,nkaonelea nirudi nyuma ya keyboard 2
 
 
Kweli wanawake mmeamua kuwa 'kiokote' sasa. Yaani umeenda kumendea mpododo wa Black Bat ukaishia kwa mwingine. Na mwenzako naye ameanzisha thread anaponda jinsi ulivyo hueleweki kama 'sigara kali' ambayo haijulikani mbele ni wapi na nyuma ni wapi.

Anadai alishindwa kufahamu kama wewe ni wa kiume, wa kike au half-cast wa jinsia.

By the way, tell me, umesema huyo jamaa 'huna feeling naye tena', unataka kuniambia kuwa ulishakuwa na feeling naye hata kabla hujamuona?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…