Wanaume wa huku muache mapozi

Retired Sister VS Black Bat
 
Last edited by a moderator:
Tuk tuk tuk tuk tuk wacha ncheke kibajaji manake hawa wa2 wanajieshua mwenzio kaponda et body yko aielewek kama ya layland au peugout.?
 
Afadhali huyo wa JF alikukosa,mtu mwenyewe ni beba bebwa tu!!!:shut-mouth:
 
Teh teh.Ni wewe nini

Hebu fikiria we binti sayuni...yaan umekwenda kwa ajili ya appointment na Mr.X,from nowhere Mr.Y anatokea,unaamua kuanza nae,eti mnakua wapenzi.....duh....Huoni alama ya hatari hiyo???Huyo jamaa hajajua tu,ila Mungu kamuepushia na mengi asee!!!HUWEZI JUA,MAGONJWA MENGI ATI NWDAYS!!!by the way hujambo my beyb Zion Daughter
 
Last edited by a moderator:
Dada nakupongeza, umeonesha ukomavu wa hali ya juu, Ila ulikuwa karibia unaingia kwa GUMEGUME lisilojua maana ya mapenzi. Hakuna kitu kibaya kama kuwa na mahusiano na mwanaume ambaye hajiamini. Umeonesha ulikuwa na dhamira ya kweli ila huyo uliyetaka kwenda kuonana naye ndio tatizo. Mshukuru MUNGU kwa kukuletea huyo uliyenaye kwa sasa. Keep it UP!
Eti amejifanya kuja na thread ya kukuponda yenye title: Stori ya kweli kuhusu wadada wa JF. Tumemshitukia, yaani amejicholesha. Nakuombea mahusiano yako yawe na mwisho mwema.
 
utafikiri hajui foleni za dar. huyu inatosha kujua tabia yake bila kuumiza kichwa. hafai kuwa mke labda hawala. mia
Ana ujasiri ambao any man can think twice.Mapenzi yetu ya kibongo tumezoea kusumbuana.Ili siku ya mechi ujione mshindi. sasa huyu hata akiingia ndani huulizi mara mbili, ukigeuka utakuta keshatoa nguo zote kalala anakusubiri.kama hujapiga ulevi kidogo unaweza ukaanza kusogea mlangoni, tayari kwa kusepa.
 
retired sister,huyo date wako kaandika thread kukuhusu wewe kasema hajavutiwa kabisa na mwonekano wako hivyo akala kona!kwa jinsi maelezo yake yalivyo inaonekana mwonekano wako ni kama huyu dada hapa chini!je unakanusha???au unakubali?????

 

dahh mbona mtoto mrembo tu!! njoo kwang mama kama huyu kazingua
 
retired sister pole sana.what doesnt kill you,make you stronger ,hapa JF ni vitoto ndio vinahusika sana na love connect
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…