Yani nimeshanga sana Dada yangu huwezi amini nimeshikwa na Butwaa,unajua wengine wanafanya utani wakati wengine tuko Serious.na kama itafikia hapo sidhani kwama watawapata!!!
ah wapi ulionaga wapi first date inakuwa kwenye nyumba ya mtu....neutral venue ndio mpango mzima
uuwwwwiiiii, mimi sijui ndo ulikuwa ushamba!ah wapi ulionaga wapi first date inakuwa kwenye nyumba ya mtu....neutral venue ndio mpango mzima
Inawezekana huyo classmate ndiye mwanaJF mwenyewe...
Inawezekana huyo classmate ndiye mwanaJF mwenyewe...
yeah mzabzab first date kama ni ya long relationship shurti iwe on public place na si home au guest au hotel room. Ukikutana na mtu anakwambia first date twende room au guest au home kwake au kwako au mahali kwa mshkaji wake make a note na chunguza most of time inakuwa for sex na ikiisha ndo basi hamna kujuana tena.
uuwwwwiiiii, mimi sijui ndo ulikuwa ushamba!
firts date nyumbani tena mchana kweupe, kila mtu awepo.
na kukaa ni sitting room hakuna kuingia chumbani, lol!
classmate, lol!na unamtabulishaje kwa hao waliokuwepo nyumbani?
classmate, lol!
tena akija tu naanza kutoa madaftari
na mimi nakujibu ni mizengwe tu, nakuhakikishia kuondoka hutaondoka, lol!kama ndio mie najidai naandika kitu kwenye daftari..."vipi papuchi nitapata au ndio mizenhwe nisepe zangu" alafu nakupa usome
na mimi nakujibu ni mizengwe tu, nakuhakikishia kuondoka hutaondoka, lol!
Whaaaat!!!!!!!!!
:tape2::tape2::tape2:
pole sana ndugu. Me sizani kama kuna mwanaume wa ukweli anayeweza kufanya utani wa namna hiyo, huyo jamaa anataka kuolewa kweli. Cha msingi we mwambie hautafuti sampuli hiyo unataka mwanamke wa ukweli nasi DUME JIKE..LOL.
mbona uliwai eneo la tukio namna hiyo .khaa ulikesha hapo au?