Wanaume wa hivi wananikera sana

Wanaume wa hivi wananikera sana

Yaani nile ugali asubuhi kabla ya saa 3?

Kwani naenda kuchunga ng'ombe?

Mwanaume unakunywaje uji as if una nyonyesha?

Nguvu za kiume ni mlo kamili tu unatosha siyo kunyweshana uji kama tuko nasare.
 
Mi nadhani umechanganya vitu hapo ila wazo lako lilikua na maana,kula kwa mpangilio,chakula bora na kufanya mazoezi.
 
Ugali asubuhi dah....japo siku mojamoja nakulaga....ila sio ndio ratiba....ugali asubuhi sio rafiki kwa utumbo aseee..... ndio maana unashauriwa kupata vitu laini vya moto....
 
Utakuta kijana HB nii balaa,kukuomba ukamkubalia mwisho wa siku anaishia kuupaka shombo tu,kumbe sababu zenyewe ndiov
 
Ukweli mchungu, unakuta mwanaume mzima hadi nyama anaonja jikoni, akipita tu karibu na jiko utasikia kidogo, mara nichotee maharage kidogo, nikatie nyanya kidogo, nitolee uji wa ugali hapo kidogo ninywe, aibu sana hii na wapo, wakati mwingine inabidi umcheki tu na ubaki unacheka. Badilikeni, kama mume au mpenzi wangu aisee tutagombana.
 
aiseee babayangu acha nile ile ki2 roho inapenda unajua nafanywa nini huko nakoenda asubui na kurudi na hela??? unanipangia cha kula ili hali wewe ni mama wa nyumbani
 
Back
Top Bottom