KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,887
- 40,068
Haya mambo yanatokana zaidi na malezi. Mwenza aliekulia kwenye familia ambayo hakuna anaemjali mwingine na kila mmoja anajihudumia kama wanyama msituni, hawezi kuona umuhimu wa kujali na hata hagundui kwamba yeye amehudumiwa kwa upendo.
Una wajibu wa kumsaidia kubadilika. Ukiumwa asipouliza unaunwa nini muambie gently hujaonyesha kunijali. Muambie naomba chai, naomba unipeleke hospitali etc. Muda unavyozidi kwenda atajigundua na kuanza kufanya bila kuombwa. Ila kama wewe ni mtu wa kujali sana matendo ya upendo, usiolewe na mtu mwenye social status tofauti na yako. Utaishia kudekea waume ama wake wa majirani zako afu itakuwa mbaya.
Mambo....
Kinachowaponza wanawake ni tabia yao ya kudeka deka kama watoto wachanga..hasa wakijua kuwa unampenda na kumjali sana yaani atakufanya robotic machine..unaeza pigiwa simu kazini kuwa nyumbani kuna matatizo na ukaaga ukija resi unakuta kumbe mtu kajikata na kisu kidoleni wakati akikata kitunguu jikoni..unampa huduma ya kwanza huku unajisemea kimoyo moyo " sasa hili nalo ni la kuitwa mimi kutoka kazini au biasharani..?"....
Mtiririko wa matukio kama haya ndio yanayofanya muda mwingine tuwe tunawapuuzia hata kama mpo siriazi....lazima mtambue kuwa japo tunawapenda na kuwajali lakini vile vile na sisi huwa tumetingwa na makazi mengi na kupata uchovu wa ajabu...na tukipata nafasi ya kupumzisha mwili huwa tunapumzika....kama ukijihisi kichwa kinauma chukua panadol umeze na maumivu yakizidi ndio uniamshe...sawaaa...??
Hii salamu hii. Haya bwana, mambo mema namshukuru Maulana.
Hivi wewe huwa unapelekea chai kitandani mwenza wako akiumwa? Manake mie nikiumwa Paw ananiogesha kabisaa
Kinachowaponza wanawake ni tabia yao ya kudeka deka kama watoto wachanga..hasa wakijua kuwa unampenda na kumjali sana yaani atakufanya robotic machine..unaeza pigiwa simu kazini kuwa nyumbani kuna matatizo na ukaaga ukija resi unakuta kumbe mtu kajikata na kisu kidoleni wakati akikata kitunguu jikoni..unampa huduma ya kwanza huku unajisemea kimoyo moyo " sasa hili nalo ni la kuitwa mimi kutoka kazini au biasharani..?"....
Mtiririko wa matukio kama haya ndio yanayofanya muda mwingine tuwe tunawapuuzia hata kama mpo siriazi....lazima mtambue kuwa japo tunawapenda na kuwajali lakini vile vile na sisi huwa tumetingwa na makazi mengi na kupata uchovu wa ajabu...na tukipata nafasi ya kupumzisha mwili huwa tunapumzika....kama ukijihisi kichwa kinauma chukua panadol umeze na maumivu yakizidi ndio uniamshe...sawaaa...??
Hamna kitu kama hicho kwangu ni kama kambi ya kijeshi..ukakamavu ndio kauli mbiu...
Other wise awe hajiwezi hata kunyanyua kidole...
Ndio nitafikiria kuchukua hatua juu yake...
Hujui unachokikosa. Ngoja nimletee paw wangu chai kwa bed tuoge tuende kusali. Nakutakia kwata jema.
Cc Watu8
Unaona sasa, mtoa mada analalama kuwa akisema anaumwa haulizwi unaumwa nini. Hapa communication skills ndio issue. Hata sie uko kazini unapigiwa simu na dada anakuambia mtoto analia sana. Unauliza umempa chakula saa ngapi? Ulibadilisha diaper saa ngapi? Hebu iangalie tena. Ulimpa maji ya kunywa? Ana homa? Ametapika? Mwisho wa siku unagundua ana usingizi. Unamuambia lala nae kitandani. Baada ya nusu saa ukipiga simu unaambiwa amelala.
Sasa wewe unaambiwa kuna shida home unakurupuka unaenda. Huulizi una shida gani? Nini kimetokea? Damu imemwagika hadi sakafuni? Unaskia kizunguzungu? Ukionyesha upendo maisha yanakuwa marahisi kuliko unavyodhani. Upendo unarahisisha maisha kaka, jiachie ufurahi.
Koma mwenyewe kama topic inakuboa kakojoe ukalale mfyuuuuuu
Hujui unachokikosa. Ngoja nimletee paw wangu chai kwa bed tuoge tuende kusali. Nakutakia kwata jema.
Cc Watu8
Nikakojoe nikalale saiz,!
Kumbe una kauli chafu ndo maana mmeo anakupuuza.
Nakubali kuwa mtu akiwa down kwa hali yoyote ile anahitaji company. Tatizo ni moja tu, wadada mnadeka kupitiliza, mwisho mtu haelewi huyu ni mgonjwa ama ni kudeka kama kawaida...!
Upendo wetu kwenu usiwe sababu ya kufanyana kama maroboti..kama unajisikia vibaya kunywa dawa..sio unalalamika kama unataka kukata roho....mbona sisi huko kazini tunapigwa vibao na mabosi mbona tunakausha tu....
Alafu msione kila tunapo amka asubuhi kwenda kazini tupo poa..sometime tunaumwa isipokuwa mtu unaamua kugangamala kiume kwani kulia lia haileti picha nzuri kwa mwanaume....mpaka unatembea na dozi ya malaria mfukoni kama duka la dawa...maana ukisema ujilegeze mambo hayaendi kwa kuwa wewe ndio kipa..na wewe ndio beki...lazima ujikaze kiume..
Ukakamavu ndio sera ya kimaendeleo...
Hahaha naona unamringishia kabisa mambo anayoyakosa kwa mai waifu wake...
Hajui bila kufunguka mai waifu wake naye atakuwa anatoa penzi kiubahili ubahili...
Hehehe raha ya ndoa kudekezana. Afu leo nimelalia bega vibaya, kama linauma vile? Nimeshapewa pole kama sita hivi