Wanaume wa hit and run wanaongezeka kwa kasi ya ajabu mno aisee💔

Hizo feelings zinatengenezwa ndani ya siku mbili tu? Ukumbuke kuwa wanawake tunajenga upendo taratibu na ndio hapo tunaanza kupata feelings ... Tofauti na wanaume ambao wao huwa wanaongozwa na tamaa
Siku mbili nyingi sana, dakika chache tu, wataalamu wa mahusiano wanasema mwanamke akimwangalia mwanaume ndani ya dakika 2 tu, shaamua amvulie chupi huyo mwanaume au la, kama mwanaume ni type yako physically Ms eyes
 
Wanaume wa hit and run wanaongezeka kwa kasi ya ajabu mno aisee💔 Ladies kuweni makini ... Imagine mtu mmekutana hamna Hata week ameshaanza kuleta stories za Mapenzi 😤🙌
Hakuna tofauti kati ya binadamu na ng'ombe.
Hata kuku jogoo wana afadhali. Utakuta kajogoo kanam care jike hadi unaona wivu. Binadamu sasa, hiiiiiii kwakweli! Kazi ipo
 
Hapo ni uanaume sasa. Wanaume tumeumbiwa kutongoza na kuchakata. Ndio maana mwanaume anaweza kukutana na wewe njiani akakuambia dada nimekupenda. Ukimkataa haitachukua hata lisaa keshakusahau anatongoza mwingine.

Kwa mazingira hayo ni wewe kukubali au kutaa ambapo vyote havina effechayo ndio mazingira ambayo nimekutana na huyo stranger amtu

Hakuna tofauti kati ya binadamu na ng'ombe.
Hata kuku jogoo wana afadhali. Utakuta kajogoo kanam care jike hadi unaona wivu. Binadamu sasa, hiiiiiii kwakweli! Kazi ipo
Fear men 😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom